Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 237
kuna usemi ukisikia bundi ujue kuna msiba katika nyumba utatokea. ila kuna research zimefanyika na kugundua bundi ni ndege anayesikia sana harufu ya mzoga kwa hiyo mara nyingi kwenye nyumba yenye mgonjwa mahututi huwa anaanza kuharibika baadhi ya sehemu za mwili na ikifikia hali ni mbaya basi mgonjwa huwa anaanza kutoa harufu ambayo kwa mlio ndani inawezekana msiisikie ila bundi huwa anaweza kusikia haraka na ikifikia hatua hiyo basi mgonjwa anakuwa baadhi ya sehemu za mwili ameshakufa na inabaki kukata roho na ndio huwa misiba inatokea
Hili ni swali ambalo nimewasikia akina mama hapa mtaani wakibishana juu ya jibu la swali hilo. Mabishano ya akina mama hao yalianza mara tu baada ya kumsikia ndege huyo akilia jirani na nyumba zao wanazoishi. Wadau tusaidiane juu ya hili tuwape majibu mwafaka akina mama hao.!
Inategemea huyo bundi analia muda gani? Ikiwa mchana mmmmh hilo janga!! Lkn usiku kawaida sana labda ugombane na mwenye macho mekundu!
Ajajajajajaja......huyo!.....usiombe......yani hapo mtaa mzima umepakwa nuksi.....tafuteni mganga wa kuwaagua.....
Mkuu alikuwa analia muda wa saa moja za jioni.
Taratibu wasiite polisi kesho watamtoa huyo mwizi walishanliza subworf yangu wslifungus milango kama kwao na hz sorex za siku hiz kama wanatengeza wao vile!!!Wakuu hivi ninavyoandika habari hii (check time hapo juu) kuna umati mkubwa wa watu wanamfukuza mwizi sijui kaiba kitu gani? Hawa jamaa wanaonekana wanahasira kupindukia; yaani wanavyomfukuza huyo mwizi sidhani kama atawashinda kwa mbio. Najaribu kuhusianisha tukio hili na thread yangu hapo juu jamani!
Mkuu tupe ripot ya huyo mwizi kama kisha badilishwa jina!!Wakuu hivi ninavyoandika habari hii (check time hapo juu) kuna umati mkubwa wa watu wanamfukuza mwizi sijui kaiba kitu gani? Hawa jamaa wanaonekana wanahasira kupindukia; yaani wanavyomfukuza huyo mwizi sidhani kama atawashinda kwa mbio. Najaribu kuhusianisha tukio hili na thread yangu hapo juu jamani!
Ajajajajajaja......huyo!.....usiombe......yani hapo mtaa mzima umepakwa nuksi.....tafuteni mganga wa kuwaagua.....
Ni kwamba anayo sensa inayo ditekti 40 days before the deceased die !
kuna usemi ukisikia bundi ujue kuna msiba katika nyumba utatokea. ila kuna research zimefanyika na kugundua bundi ni ndege anayesikia sana harufu ya mzoga kwa hiyo mara nyingi kwenye nyumba yenye mgonjwa mahututi huwa anaanza kuharibika baadhi ya sehemu za mwili na ikifikia hali ni mbaya basi mgonjwa huwa anaanza kutoa harufu ambayo kwa mlio ndani inawezekana msiisikie ila bundi huwa anaweza kusikia haraka na ikifikia hatua hiyo basi mgonjwa anakuwa baadhi ya sehemu za mwili ameshakufa na inabaki kukata roho na ndio huwa misiba inatokea
Mkuu tupe ripot ya huyo mwizi kama kisha badilishwa jina!!