Bunda tumeangusha Mbuyu

Bunda tumeangusha Mbuyu

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,521
Reaction score
96,267
Kwanza niwapongeze sana wakaazi wenzangu wote wa Bunda kwa kujitambua na kuamua kumpiga chini Stephen Masato Wassira kwa kishindo na kumchagua binti Bulaya; Asanteni sana na tutegemee mawazo mapya sasa na maendeleo ya jumla kutoka kwa mbunge shupavu Ester Bulaya.

Sasa ni wakati wa kula kichuuriii...
 
Hivi kumbe alipitia na upadri au macho yangu yananidaganya😱:sly::what:
 

Attachments

  • 1446634937302.jpg
    1446634937302.jpg
    6.1 KB · Views: 953
Yuko TBC1 ss hv anazungumzia maswala ya uchaguzi Zanzibar! Bado anamtetea Jecha kuwa kuliwa na mapungufu

kweli hili ni libuyu ambaye hastahili kupewa cheo chochote
 
Pamoja na kuangushwa sidhani kama ana wasiwasi wowote kwani atateuliwa na Magufuli
kwenye zile nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwa. Au yeye (wassira) hastahili?
 
Pamoja na kuangushwa sidhani kama ana wasiwasi wowote kwani atateuliwa na Magufuli
kwenye zile nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwa. Au yeye (wassira) hastahili?[/Q

Kwanini umteue mtu ambaye wananchi wengi wamemkataa?
 
Back
Top Bottom