Bunda tumeangusha Mbuyu

Bunda tumeangusha Mbuyu

Hivi ana watoto? hepu tupieni picha za uzao wake hapa. Tujiliwaze baada ya makwapuzi ya kura.
 
Pamoja na kuangushwa sidhani kama ana wasiwasi wowote kwani atateuliwa na Magufuli
kwenye zile nafasi 10 za wabunge wa kuteuliwa. Au yeye (wassira) hastahili?[/Q

Kwanini umteue mtu ambaye wananchi wengi wamemkataa?

Akafanye nini bungeni huyu mzee wakati muda wote ni kupiga mbonji?
 

Attachments

  • 1446647516786.jpg
    1446647516786.jpg
    76.8 KB · Views: 255
Huyu mzee angekua prezdaa nisinge tundika picha yake ofisini jamani!

Teeeeeh teeeeeeh teeeeeh 😆 😆 😆 😆 😆 😆 😆
 
Nafuu wakazi wa bunda mmeamua kumpumzisha kwa mtutu wa kura,sasa atapata muda mzuri wa kuuchapa usingizi,ata akiamua ashide amelala nisawa,hongeleni sana wana bunda.
 
Kwanza niwapongeze sana wakaazi wenzangu wote wa Bunda kwa kujitambua na kuamua kumpiga chini Stephen Masato Wassira kwa kishindo na kumchagua binti Bulaya; Asanteni sana na tutegemee mawazo mapya sasa na maendeleo ya jumla kutoka kwa mbunge shupavu Ester Bulaya.

Sasa ni wakati wa kula kichuuriii...

Mkuu Mmawia pongezi nyingi sana kamanda, tokea wahuni wauondoe mtandao huu hewani nilikosa namna ya kukupa pongeza.

Arusha tulifanyakazi yetu kwa sehemu na sasa tunasubiri kumpitisha Lema na ukizingatia tuna majeraha...........
 
Last edited by a moderator:
Sokwe Mtu down 😂😂😂!!! Akagombee kwenye umoja wa Akina mama au asubiri viti maalumu kama Marehemu Amina Chifupa .
 
Back
Top Bottom