nyamwingi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 933
- 863
Kwahiyo Yanga imefungwa na Rivers sababu ndo hii? Acha ujinga weweNilishasema kuwa kuna Kazi iliyo nyepesi sana Kwangu Mightier ni ya Kufuatilia Habari ngumu na zinazofichwa ndani ya Klabu ya Yanga.
Kwa taarifa nilizopemyezewa na Mmoja wa Waandamizi wa Yanga SC (asiyependa Unafiki na Uwongo) kasema kuwa Wachezaji Waandamizi wa Yanga SC akina Deus Kaseke, Adeyum Saleh na Ditram Nchimbi wakiwawakilisha Wenzso wamekasirishwa na Usajili wa Msemaji mpya Haji Manara na Kuhoji iweje aliyewaita na Kuwadhalilisha kuwa ni Takataka leo yupo nao?
Haya Msemaji Msaidizi Hassan Bumbuli na Makamu Mwenyekiti Mwakalebela si mnajifanya mnajua kukanusha na kuficha Siri ya Mapungufu yaliyoko Yanga SC? Haya kanusheni na hii Taarifa pia.
Wiki ijayo ninakuja na Kali kuliko hii JF.