Bumbuli na Yanga SC yako si mnajifanya mnajua kukanusha na kuficha yanayoendelea, ikanusheni na hii pia

Nilishasema kuwa kuna Kazi iliyo nyepesi sana Kwangu Mightier ni ya Kufuatilia Habari ngumu na zinazofichwa ndani ya Klabu ya Yanga.

Kwa taarifa nilizopemyezewa na Mmoja wa Waandamizi wa Yanga SC (asiyependa Unafiki na Uwongo) kasema kuwa Wachezaji Waandamizi wa Yanga SC akina Deus Kaseke, Adeyum Saleh na Ditram Nchimbi wakiwawakilisha Wenzso wamekasirishwa na Usajili wa Msemaji mpya Haji Manara na Kuhoji iweje aliyewaita na Kuwadhalilisha kuwa ni Takataka leo yupo nao?

Haya Msemaji Msaidizi Hassan Bumbuli na Makamu Mwenyekiti Mwakalebela si mnajifanya mnajua kukanusha na kuficha Siri ya Mapungufu yaliyoko Yanga SC? Haya kanusheni na hii Taarifa pia.

Wiki ijayo ninakuja na Kali kuliko hii JF.
Kwahiyo Yanga imefungwa na Rivers sababu ndo hii? Acha ujinga wewe
 
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Mtakoma Chama kaondoka
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Trh 28 kutakuwa na Suprise
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Suprise ni Luis Miquissone.
Simba: Andaeni Timu msije kutulaumu
Yanga: Tumemchukua Manara.
Simba: Manara hatacheza andaeni Timu
Yanga: Subiri siku ya Wananchi mtaona.
Simba: Vipi mtani Kapumbu kafanyaje?
Yanga: Tulikuwa tunatest mitambo subiri siku River Plates ya Nijeria, huwezi umiza wachezaji kwa bonanza.
Simba: Andaeni timu River sio timu ya kitoto!
Yanga: Kocha wenu hana vyeti.
Simba: Jamaa jiandaeni huyu kocha ndio kawatafutia ninyi nafasi hiyo mnayocheza.
Yanga: Tunatoa kozi za Fifa Class A. Tunaye Proffesa.
Simba: River hao wametoboa tena mnasemaje?
Yanga: Hatuongei sasa hivi majibu tarehe 19.
Simba: Haya ngoja tuonee....
Simba Nguvu Moja.
๐Ÿ˜‚

Bugatti bado anawatesa MAKOLO hamuamini kama bado anakula maisha adeyum,nchimbi na kaseke waende Makolo FC kama hawamtaki triple king
 
Mimi ni shabiki wa Yanga lia lia. Kwa Nchimbi na Adeyemu manara yupo sahihi. Kwa Kaseke na wenzake Manara anapaswa kumuomba msamaha.
Cha kuongezea tu Yanga haitafika kokote Kama full backs wataendelea kuwa Adeyumu na Kibwana.
images
 
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Mtakoma Chama kaondoka
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Trh 28 kutakuwa na Suprise
Simba: Andaeni Timu
Yanga: Suprise ni Luis Miquissone.
Simba: Andaeni Timu msije kutulaumu
Yanga: Tumemchukua Manara.
Simba: Manara hatacheza andaeni Timu
Yanga: Subiri siku ya Wananchi mtaona.
Simba: Vipi mtani Kapumbu kafanyaje?
Yanga: Tulikuwa tunatest mitambo subiri siku River Plates ya Nijeria, huwezi umiza wachezaji kwa bonanza.
Simba: Andaeni timu River sio timu ya kitoto!
Yanga: Kocha wenu hana vyeti.
Simba: Jamaa jiandaeni huyu kocha ndio kawatafutia ninyi nafasi hiyo mnayocheza.
Yanga: Tunatoa kozi za Fifa Class A. Tunaye Proffesa.
Simba: River hao wametoboa tena mnasemaje?
Yanga: Hatuongei sasa hivi majibu tarehe 19.
Simba: Haya ngoja tuonee....
Simba Nguvu Moja.
" data-src="/proxy.php?image=https%3A%2F%2Fstatic.xx.fbcdn.net%2Fimages%2Femoji.php%2Fv9%2Ftd0%2F1%2F16%2F1f602.png&hash=8ecb3aeb4a4ac1b2691422c067b73e3e" data-lb-sidebar-href="" data-lb-caption-extra-html="" data-single-image="1"> <img src=" title="" width="" height="" />

Mchezaji wewe una mkataba kazi yako kucheza tu haya ya nje ya uwanja hayukuhusu haya mambo ya zamani miaka ya 90. Benitez katoka Liver kwenda Everton na aliwahi kuongea shombo juu ya Everton sembuse Manara? move on cheza mpira mambo ya club management hayamuhusu mchezaji mkataba wako pigania matokeo uwanjani.
 
Kwa Uwazi na Ufichuaji wangu huu Kwao wana Yanga SC waliopo hapa JamiiForums ulitegemea ungewafurahisha na wangeusapoti?

Na kwa Kuwasaidia tu ni kwamba hata aliyenipa hii Taarifa Muhimu sana yupo nao Yanga SC ( tena katika Uongozi wao ) na Safarini nchini Nigeria atakuwepo na ndiyo kanipa pia na Taarifa nyingine Kubwa ambayo nasubiri Wakifungwa Jumapili niitoe Jumatatu wakiwa bado na Machungu ili Waumie zaidi.
Kwanini iyo taarifa usiitoe sasa hivi mpaka usubili wafungwe, iyo tu inaonyesha jinsi taarifa zako zinalenga kitu gani, utaendelea kupuuzwa kwa maana ushatoa taarifa nyingi apa za ovyo ovyo atukuwa na mda wa kuhangaika na wewe kwa maana tushakuelewa vizuri Sana unachokitafuta na yote umeangukia pua na utaendelea kuangukia pua tafuta jingine la udaku tunakusubilli apa
 
Kawaida tu kwenye soka alikuwa kwenye ajira.
Rafa Benitez alipokuwa Liverpool aliikejeli Everton lakini sasa ni kocha wa Everton anafanya Kila kitu katika uwezo wake kusaidia timu ifanye vizuri.
So take it easy and relax.
 
Kwanini iyo taarifa usiitoe sasa hivi mpaka usubili wafungwe, iyo tu inaonyesha jinsi taarifa zako zinalenga kitu gani, utaendelea kupuuzwa kwa maana ushatoa taarifa nyingi apa za ovyo ovyo atukuwa na mda wa kuhangaika na wewe kwa maana tushakuelewa vizuri Sana unachokitafuta na yote umeangukia pua na utaendelea kuangukia pua tafuta jingine la udaku tunakusubilli apa
Unateseka na Mimi ukitokea wapi labda?
 
Uko sahihi na unaambiwa karibia 95% ya Wachezaji wa Yanga SC hawamtaki Msemaji wao mpya Haji Manara na kwamba walipanga Kugoma isipokuwa kuna Kiongozi Mmoja ( tena Waziri ) katika Serikali ya Rais Samia ndiyo Kawasihi wasifanye hivyo kutokana Kipindi hiki wana Jukumu Kubwa la Kimataifa.
Hao wachezaji wacheze tu Mpira mana ndio kazi yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeshapenya hiyo Ndugu na Jumatatu ijayo nakuja na Exclusive nyingine tena iliyo mbichi ( moto Moto ) kabisa kutoka ndani kabisa ya Yanga SC na najua mtatafutana hapa JamiiForums. Nawajua kuliko mnavyojijua Wapuuzi wakubwa nyie.
Huna lolote unavizia kama Yanga wakishinda kule Nigeria upotelee porini na kama ikitolewa ndipo ulete uongo wako. Kama unalo liseme sasa hivi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akina Hassan Bumbuli ( Msemaji wa Yanga SC ) na Makamu Mwenyekiti wake Frederick Mwakalebela ( Tumbo Tumbo ) si huwa wanajifanya Kukanusha Taarifa za Yanga SC na kufanya ni Siri basi wajitokeze na Waikanushe na hii pia Kudadeki zao. Nimewashika pabaya na patamu.
Waje wakanushe huku mafichoni JF!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Moto dhidi ya Haji Manara utaanza rasmi Jumapili hii Usiku wanapoenda Kutolewa CAF CL na asipoachana na Yanga SC nakuhakikishia Ndugu baada ya Mechi ya Ngao ya Jamii ( Hisani ) ambayo Yanga SC hata wafanyeje wana 85% ya Kufungwa na Simba SC ndipo wanaenda Kumuumbua, Kumdhalilisha, Kumtukana na asipoangalia wakiwa nae karibu Kichapo ( Kipigo ) kutoka kwa Mashabiki wenye Hasira Kali wa Yanga SC kitamuhusu.
Simba hamfungi Yanga ngao ya jamii.
Simba ile timu mmepigwa. Hamna wachezaji pale.
 
Nilishasema kuwa kuna Kazi iliyo nyepesi sana Kwangu Mightier ni ya Kufuatilia Habari ngumu na zinazofichwa ndani ya Klabu ya Yanga.

Kwa taarifa nilizopemyezewa na Mmoja wa Waandamizi wa Yanga SC (asiyependa Unafiki na Uwongo) kasema kuwa Wachezaji Waandamizi wa Yanga SC akina Deus Kaseke, Adeyum Saleh na Ditram Nchimbi wakiwawakilisha Wenzso wamekasirishwa na Usajili wa Msemaji mpya Haji Manara na Kuhoji iweje aliyewaita na Kuwadhalilisha kuwa ni Takataka leo yupo nao?

Haya Msemaji Msaidizi Hassan Bumbuli na Makamu Mwenyekiti Mwakalebela si mnajifanya mnajua kukanusha na kuficha Siri ya Mapungufu yaliyoko Yanga SC? Haya kanusheni na hii Taarifa pia.

Wiki ijayo ninakuja na Kali kuliko hii JF.
Yan ww fala kweli habari zingine za kipuuzi hivi sijui hata unazitoa mi nilifikir wanadai labda mishahara au Nini Yani kumbe huu upupu wako ndio unaleta hapa halafu unapa sema wachezaji waandamiz wameifanyia nn yanga
 
Nilishasema kuwa kuna Kazi iliyo nyepesi sana Kwangu Mightier ni ya Kufuatilia Habari ngumu na zinazofichwa ndani ya Klabu ya Yanga.

Kwa taarifa nilizopemyezewa na Mmoja wa Waandamizi wa Yanga SC (asiyependa Unafiki na Uwongo) kasema kuwa Wachezaji Waandamizi wa Yanga SC akina Deus Kaseke, Adeyum Saleh na Ditram Nchimbi wakiwawakilisha Wenzso wamekasirishwa na Usajili wa Msemaji mpya Haji Manara na Kuhoji iweje aliyewaita na Kuwadhalilisha kuwa ni Takataka leo yupo nao?

Haya Msemaji Msaidizi Hassan Bumbuli na Makamu Mwenyekiti Mwakalebela si mnajifanya mnajua kukanusha na kuficha Siri ya Mapungufu yaliyoko Yanga SC? Haya kanusheni na hii Taarifa pia.

Wiki ijayo ninakuja na Kali kuliko hii JF.
Nchimbi na Adeyum ni wachezaji waandamizi?
 
Mtafute Mtu aliyekuzidi Akili ( ambazo bahati mbaya huna ) hapo Jirani nawe umuulize nini maana ya neno Mwandamizi halafu akishamaliza Kukuelimisha mwombe akupige Kibao cha uhakika Shavuni na ujiite Mpumbavu sawa?
 
Back
Top Bottom