There had been several attempts of interrupting the normal workings of this forum. These attacks have caused several problems to our members among them denial of service, slow webpage loading, and difficulties in posting new threads.
After careful review, we have noticed that the attacks were carried out with such precision and meticulosity to make us believe that these were well planned, organized and executed. They were not accidents or simple virus attacks.
As we approach the one year anniversary of those "events" of February last year we are expecting such attacks to increase in size and impact.
We are glad however, that the security and IT intelligence team of JF under Invisible which is on guard 24/7 was able to promptly and expertly fend off all the attacks, took preventive measures and are now preparing a definitive and massive retaliation that only JF team can carry out to be a lesson to all known perpetrators at a time, means, and manner of our own choosing.
We assure our members to continue to enjoy and use your forum without any worry and in case of anything that they suspect as not normal please PM me or any of the MoDs with a copy to Invisible and Farida. We stand united to guarantee that JF will continue to stand as a symbol and sign of a free and democratic society.
For Administration
Thanks Silencer, clearly stated.
We've increased our services security. Thanks to the person (who do not wish to be mentioned) who rang Maxence and highlighted this. This' a second attack and we've learnt from it. JF will be connecting from 4 different locations.
Thanks
Mh, si mchezo... Alternative nr 4 have failed.
Poleni kwa kutoweka kwetu hewani kwa muda, we're back.
OMBI:
Linapotokea tatizo tunaomba wasiliana nasi kwa haraka iwezekanavyo ili tuweze kurekebisha ndani ya muda. Tu-sms ama pigeni simu via +255713444649
Tatizo lolote haliwezi kuchukua zaidi ya dakika 20 kabla ya kuwa resolved, kuchelewa kutufahamisha inakuwa ni kuchelewa kwa utendaji wa haraka. Hata hivyo tunajiweka sawa na kuanzia March tutakuwa katika hatua kubwa kuliko sasa.
Poleni wakuu
Umejuaje? kwi!kwi!kwi!Tehe tehe, na nanihii naye anajraibu kui hack JF, si yule mliyesema alikuwa kule jiniva ku negotiate deal.
Wana JF,
Naomba katika hili tuwe waangalifu sana. Inaweza kuwa wala si Mtanzania aliyefanya huu upuuzi. Pia anaweza kuwa Mtanzania ndiyo kwa lengo la hebu ngoja nitest uwezo wao wa kujihami hawa Watanzania. Nakumbuka mnakumbuka matukio kadhaa ambayo watoto wadogo kabisa under 20 walifanya kufuru USA/Duniani bila hata kudai senti tano. Wao ilikuwa inawafurahisha tu kwamba asubuhi wanasikia watu wamelizwa.
Siku moja walionyesha jamaa MAGURU wa internet/computer. Wakali hawa mara nyingi wako kwenye mitandao ya kampuni zinazouza film za ngono, Casino, madawa, silaha etc. Jamaa hao kweli wakali. Walionyesha jinsi wanavyoweza kuvamia server na kuizima. Hawa nao wajinga sana kwani anafanya hivyo kwa FUN.
Nafikiri jinsi JF inavyozidi kuwa KALI, ndivyo pia inaanza kujipatia WAPINZANI wengi. Wengine watakuwa Mafisadi, wengine ni wanaosema "ngoja niwatarai", wengine ni wale wenye forum zao ila kwa sasa zinakufa maana kumbakumba JF anabeba wote na mwisho ni wale wahuni niliosema wanaokaa kwenye mtandao na wakiwa bored wanatafuta wapi wachemshe ubongo kwa kuvunja system zao. Hawa unaweza kukuta hata hawajui JF ni nini ila basi tu ameangalia wapi kuna traffic kubwa na wakaiona JF. Itabidi wakali wote wa IT waungane katika hili ili NGOME ya JF iwe haiingiliki.
Hili la position nne at a time safi sana na hongera. Hata Minziro haliwezi kwani yeye aliishia "Kutura" 2 position at a time. Saafi sana. Wakijua watakata tamaa.
Maoni yako mazuri sana mkuu... mimi mwenyewe hapa nahisi hizi attack wala hazihusiani na siasa za bongo ila uhuni wa 'ngoja tuwajaribu' ndiyo uliotumika.... Hivi karibuni Invisible aliandika pahala kuwa kuna hits 18million, na kwamba hiyo ilikuwa record, sikujua hiyo jump ilitokana na nini na ilikuwa ni ya margin gani kutoka kwenye normal operation conditions... Je, yawezekana hili tatizo limeanza kujitokeza kipindi kirefu zaidi ya tunavyofikiria? Je, wafanyayo haya ni wabongo? Kama wanamtandao wa Kitanzania wapenda mema ya nchi yetu, tushirikiane vipi kuwa fend off attacks kama hizi?
Nashukuru jitihada kubwa za kuturudisha hewani zinazofanywa na wakina Invisibles na team yake yote.
SteveD.
Thanks Silencer, clearly stated.
We've increased our services security. Thanks to the person (who do not wish to be mentioned) who rang Maxence and highlighted this. This' a second attack and we've learnt from it. JF will be connecting from 4 different locations.
Thanks
Vyanzo vyangu vya habari za kijasusi vinatisha...