Bulletin: All members please read:

Mh, si mchezo... Alternative nr 4 have failed.

Poleni kwa kutoweka kwetu hewani kwa muda, we're back.

OMBI:

Linapotokea tatizo tunaomba wasiliana nasi kwa haraka iwezekanavyo ili tuweze kurekebisha ndani ya muda. Tu-sms ama pigeni simu via +255713444649

Tatizo lolote haliwezi kuchukua zaidi ya dakika 20 kabla ya kuwa resolved, kuchelewa kutufahamisha inakuwa ni kuchelewa kwa utendaji wa haraka. Hata hivyo tunajiweka sawa na kuanzia March tutakuwa katika hatua kubwa kuliko sasa.

Poleni wakuu

NB:
Nimeombwa na baadhi ya wadau niwape IP zinazofanya hivi ili nao waweze kukabiliana na hawa wanaofanya hii kitu. Kwa walio interested naomba wawasiliane nami via invisible at jamiiforums.com nitawapa IP zote ambazo zinahitajika kuwa blocked haraka iwezekanavyo katika server wall.


Kilichotokea ni hiki hapa

Invisible, heshima yako Mkuu. Najaribu kusikiliza muziki lakini naona kama kuna kwiwkwi kichizi wakati mwingine inaonekana kama nimeselect 'random play' au nako huko mafisadi hawataki tuburudike baada ya kazi ngumu?

Naomba msaada hapo
 
Back
Top Bottom