johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,635
Mbunge wa kuteuliwa.Bulembo ndio nani
Bulembo ndio nani
Mbunge wa kuteuliwaNi yulee mpiga dili wa Arvs
No, yule ni madabida mwenyekiti wa CCM mkoa wa darNi yulee mpiga dili wa Arvs
Ni mwizi wa pesa zinazolalamikiwaBulembo ndio nani
Mkuguzi mkuu wa hesabu kakuta madudu yale yale ya miaka yote hakuna unafuu wowote ule licha ya baba jesca kujidai kuwa kabana kona za ufisadi.CCM ni ukoo wa mchwa!! Lini mchwa aliacha kutafuna?Si mpaka afe, Siku ccm ikiacha ufisadi nayo inakufa!!
Wasitegemee hatua yoyote kuchukuliwa....Walimu wa shule ya sekondari wamemlalamikia mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi CCM kwa kushindwa kuwalipa madai yao baada ya kuiuxa shule hiyo kwa chuo kikuu Mzumbe.Wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati kwani shule hiyo imeuzwa kwa sh 3.5billion na wao madai yao hayazidi sh 500million.Wamedai pia makato yao ya mifuko ya kijamii hayajawasilishwa kwa zaidi ya miaka 10.Alipoulizwa swala hili katibu wa wazazi ccm alisema jambo hili aulizwe Bulembo.Naye Bulembo alitafutwa alisema angelitolea ufafanuzi leo jumamosi lakini leo alipotafutwa simu yake iliita bila kupokelewa.Chanzo Star Tv Taarifa ya Habari
huyo ni kama Daud Albert Bashite hawezi kuguswa hilo soo litazimwa kimya kimya ingawa Wapinzani wanajipanga kulikomalia zaidi.CCM ndiyo kitovu cha ufisadi.
Bulembo ni mteule wa rais bungeni malipo baada ya kazi yake ya ukampeni meneja.
Je, Mwenyekiti wa CCM atathubutu kumuadhibu huyu kampeni meneja wake??
Wapinzani shule ya ccm?Labda!!huyo ni kama Daud Albert Bashite hawezi kuguswa hilo soo litazimwa kimya kimya ingawa Wapinzani wanajipanga kulikomalia zaidi.
Vyeti vyake having figisu?CCM ndiyo kitovu cha ufisadi.
Bulembo ni mteule wa rais bungeni malipo baada ya kazi yake ya ukampeni meneja.
Je, Mwenyekiti wa CCM atathubutu kumuadhibu huyu kampeni meneja wake??
Hata kama vina figusu kwa kuwa ni mwanasiasa haitaathiri cho chote.Vyeti vyake having figisu?
Hata kama vina figusu kwa kuwa ni mwanasiasa haitaathiri cho chote.