Bulembo: Hazina haina fedha za kutosha

Bulembo: Hazina haina fedha za kutosha

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,091
Reaction score
134,525
Mwenyekiti wa jumuiya ya Wazazi CCM Abdalah Bulembo, ametoa tamko kuwa hazina haina fedha za kutosha, Mtanzania inaripoti katika page yake ya 7.

Aidha Bulembo amesema serikali itabana matumizi yake ili kupata pesa za kuwaletea maendeleo wananchi.

USHAURI:
Bulembo kampeni zimeisha, tofautisha majukumu ya serikali na aliyekuwa kampeni meneja.

Usiingilie mamlaka husika
 
Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?.Wewe mtoa hii mada unajua utaratibu wa Hazina kuwa na pesa?

Ngoja tusaidiane hapa kuondoa ujinga:

Kwa ufupi mmoja wa anayejua kuhusu pesa za Hazina na mwenye mamlaka ya kuzisemea ni kamishna wa bajeti wa wizara ya fedha.

Hazina ni wasimamizi wa mfuko mkuu wa serikali na akaunti yao ipo banki kuu. Banki kuu kila siku inapokea pesa kutoka TRA...maana wote tunajua kuwa TRA inafanya makusanyo ya kila siku.

Kutoka TRA pesa zinaingizwa Banki kuu kila siku. Na zikifikishwa Banki kuu, kila siku zinatoka kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya serikali. Utaratibu wa miaka yote huu.

Je, hoja kuwa Hazina ina pesa pungufu au kidogo imetoka wapi!? Je makusanyo yamepungua huko TRA? Au mlidhani pesa za serikali uwa zinatunzwa tu!?

Hoja za kujiuliza:

Kama Hazina haina kitu...mishahara ya mwezi huu tumelipwaje?

Kama Hazina haina kitu...bodi ya mikopo imepata wapi pesa ya kulipa wanafunzi wa elimu ya juu wa kuanzia mwaka wa 1 hadi wa 5 kwa vyuo vyote nchini?

Kama Hazina haina pesa...shughuli za serikazi zinajiendeshaje?

Ukijiuliza hayo maswali...utapata picha kuwa pesa zipo na zinaendelea kukusanywa kila siku, ila serikali ya awamu ya 5 imeamua kubana matumizi na kuongeza makusanyo zaidi ili ahadi za rais Dkt Magufuli zitekelezwe kwa wakatiikiwemo ya elimu BURE...tayari mashule yamepigwa MARUFUKU kukusanya michango ya aina yoyote kutoka kwa wanafunzi.

#HapaKaziTu
 
JK kakaushaaaaa hazina... na alaaniwe...!!!

Pia Bulembo sio msemaji wa serikali, ingawa ni vizuri kafichua siri... KUWA TREASURY iko ICU...
 
Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?.Wewe mtoa hii mada unajua utaratibu wa Hazina kuwa na pesa?

Ngoja tusaidiane hapa kuondoa ujinga:

Kwa ufupi anayejua pesa za Hazina ma mwenye mamlaka ya kuzisemea ni kamishna wa bajeti wa wizara ya fedha.

Hazina ni wasimamizi tu na akaunti yao ipo banki kuu. Banki kuu kila siku inapokea pesa kutoka TRA...maana wote tunajua kuwa TRA inafanya makusanyo ya kila siku.

Kutoka TRA pesa zinaingizwa Banki kuu kila siku. Na zikifikishwa Banki kuu, kila siku zinatoka kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya serikali. Utaratibu wa miaka yote huu.

Je, hoja kuwa Hazina ina pesa pungufu au kidogo imetoka wapi!? Je makusanyo yamepungua huko TRA? Au mlidhani pesa za serikali uwa zinatunzwa tu!?

Hoja za kujiuliza:

Kama Hazina haina kitu...mishahara ya mwezi huu tumelipwaje?

Kama Hazina haina kitu...bodi ya mikopo imepata wapi pesa ya kulipa wanafunzi wa elimu ya juu wa kuanzia mwaka wa 1 hadi wa 5 kwa vyuo vyote nchini?

Kama Hazina haina pesa...shughuli za serikazi zinajiendeshaje?

Ukijiuliza hayo maswali...utapata picha kuwa pesa zipo ila serikali imeamua kubana matumizi na kuongeza makusanyo ili ahadi za rasi Dkt Magufuli zitekelezwe ikiwemo ya elimu BURE...tayari mashule yamepigwa MARUFUKU kukusanya michango ya aina yoyote kutoka kwa wanafunzi.

#HapaKaziTu

Haya maswali ya kijinga na utetezi wako wwenye kima cha upumbavu waulize watoto wako na mke wako ndiyo ambao akili zao zinaishia hapa.

Pumbavu.
 
Nenda kapumuliwe kisogoni huko...mtu wa kijiweni unajua nini!?
 
Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?.Wewe mtoa hii mada unajua utaratibu wa Hazina kuwa na pesa?

Ngoja tusaidiane hapa kuondoa ujinga:

Kwa ufupi mmoja wa anayejua kuhusu pesa za Hazina na mwenye mamlaka ya kuzisemea ni kamishna wa bajeti wa wizara ya fedha.

Hazina ni wasimamizi wa mfuko mkuu wa serikali na akaunti yao ipo banki kuu. Banki kuu kila siku inapokea pesa kutoka TRA...maana wote tunajua kuwa TRA inafanya makusanyo ya kila siku.

Kutoka TRA pesa zinaingizwa Banki kuu kila siku. Na zikifikishwa Banki kuu, kila siku zinatoka kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya serikali. Utaratibu wa miaka yote huu.

Je, hoja kuwa Hazina ina pesa pungufu au kidogo imetoka wapi!? Je makusanyo yamepungua huko TRA? Au mlidhani pesa za serikali uwa zinatunzwa tu!?

Hoja za kujiuliza:

Kama Hazina haina kitu...mishahara ya mwezi huu tumelipwaje?

Kama Hazina haina kitu...bodi ya mikopo imepata wapi pesa ya kulipa wanafunzi wa elimu ya juu wa kuanzia mwaka wa 1 hadi wa 5 kwa vyuo vyote nchini?

Kama Hazina haina pesa...shughuli za serikazi zinajiendeshaje?

Ukijiuliza hayo maswali...utapata picha kuwa pesa zipo na zinaendelea kukusanywa kila siku, ila serikali ya awamu ya 5 imeamua kubana matumizi na kuongeza makusanyo zaidi ili ahadi za rais Dkt Magufuli zitekelezwe kwa wakatiikiwemo ya elimu BURE...tayari mashule yamepigwa MARUFUKU kukusanya michango ya aina yoyote kutoka kwa wanafunzi.

#HapaKaziTu

Unamlaumu mtoa mada badala ya Bulembo aliyetoa taarifa kuwa hazina haina pesa za kutosha kuendeshea serikali hadi ikatolewa kwenye gazeti Mtanzania?
Tafuta hilo gazeti usome halafu ubishane na Bulembo.

Acha kujotoa ufahamu wewe?
 
Whistle blower at work Safi sana Bulembo kwa kuwekea swala wazi alilolianika Kubenea
 
Last edited by a moderator:
Government fiscal reserve. Serikali huwa ina akiba isiyoguswa ikiguswa ujue imefilisika
 
Haya maswali ya kijinga na utetezi wako wwenye kima cha upumbavu waulize watoto wako na mke wako ndiyo ambao akili zao zinaishia hapa.

Pumbavu.

Walipoambiwa ukweli hawakutaka..wanapoona hatua zinachukuliwa kwa haya madogo wanafurahi..hata hili watalikiri mbeleni
cc Tyta
 
Last edited by a moderator:
Haya maswali ya kijinga na utetezi wako wwenye kima cha upumbavu waulize watoto wako na mke wako ndiyo ambao akili zao zinaishia hapa.

Pumbavu.
Nyumbu kasoro mkia. Hapa kazi tu, MAJUNGU ufipa!
 
Unamlaumu mtoa mada badala ya Bulembo aliyetoa taarifa kuwa hazina haina pesa za kutosha kuendeshea serikali hadi ikatolewa kwenye gazeti Mtanzania?
Tafuta hilo gazeti usome halafu ubishane na Bulembo.

Acha kujotoa ufahamu wewe?

Tatizo la kuishia darasa la saba halafu unataka kushindanisha akili zako na masters degree holder ndio hili.

Wewe wa darasa la saba unaposoma andiko la mtu uwe unatukia hizo akili zako za STD VII zitakusaidia kidogo...hapo kwenye andiko langu ni nani ambae nimemshangaa? Nimemshangaa huyo Bulembo amejuaje mambo ya Hazina!?
 
wakati unabubujikwa na povu waeleze pia Bulembo mtoa taarifa ni darasa la ngapi
 
Ukiona mtu anakanusha alichokitamka ama kuandika mwenyewe na kinaonekana wazi ujue akili yake si nzuri ama elimu haijamkomboa.

Angalia mstaria wa pili paragraph ya kwanza kabisa umehamishia lawama kwa mtoa mada.
 
Mjibu bulembo coz umeruka na kumshupalia mleta mada as if yeye ndiyo kasema.
 
Bulembo bintiyo kapata ubunge kule kuna Sugu lazima amuombe ndogo.
 
wakati unabubujikwa na povu waeleze pia Bulembo mtoa taarifa ni darasa la ngapi

Kazi za Bulembo ziliishia jukwaani kipindi cha kampeni. He was good at it. Huku serikalini aache hao waliopewa ridhaa wapige kazi.

Kabla sijatoa kiwango cha elimu ya Bulembo...pia nikushangae wewe! Iweje umtumie Bulembo kama reference kuhusu suala la Hazina..basi inabidi mashaka makubwa niwe nayo kwenye upeo na akili zako ikiwa zipo sawa ama lah.
 
Ukiona mtu anakanusha alichokitamka ama kuandika mwenyewe na kinaonekana wazi ujue akili yake si nzuri ama elimu haijamkomboa.

Angalia mstaria wa pili paragraph ya kwanza kabisa umehamishia lawama kwa mtoa mada.

Kumuuliza mtu anajua utaratibu ndio lawama?

Darasa la saba at it best level..😅😅😅😂😂😂
 
Kazi za Bulembo ziliishia jukwaani kipindi cha kampeni. He was good at it. Huku serikalini aache hao waliopewa ridhaa wapige kazi.

Kabla sijatoa kiwango cha elimu ya Bulembo...pia nikushangae wewe! Iweje umtumie Bulembo kama reference kuhusu suala la Hazina..basi inabidi mashaka makubwa niwe nayo kwenye upeo na akili zako ikiwa zipo sawa ama lah.
wewe ni mpumbavu tu na ngojera zako,onyesha nilipomtumia Bulembo kama rejea.usinilinganishe na wewe mpiga debe humu.mimi hata nikihitaji current financial report ya hazina napata
 
Back
Top Bottom