Bulembo: Bajeti hii ni chereko chereko

Hapo ndipo mwisho wa akili yake, kama elimu yake ndiyo inavyo julikana atawezaje kuipambanua bajeti. Jamaa yuko kama waandishi wa gazeti lile la kufungia vitumbua mitaa ya Kariakoo, maana nao walitoka na mpya jana.
Hawa jamaa wako kwa ajili ya matumbo yao na familia zao.
Lakini tutatoboa....
 
haya magamba ni shida....hiyo cherekochereko labda imo m@k@l10n1 mwake! watu wamekanadamizwa mpaka hawana pa kupulia halafu haya mafisi yanasifia ujinga!
 
wasubiri kusherekea vizuri hiyo CHEREKOCHEREKO mwaka 2020. CCM wamewakaidi wahisani na wafadhili, sasa wamegeuikia kuwakanadamiza wananchi....haya mafisi ni ya kuogopwa zaidi ya UKIMWI.
 
wasubiri kusherekea vizuri hiyo CHEREKOCHEREKO mwaka 2020. CCM wamewakaidi wahisani na wafadhili, sasa wamegeuikia kuwakanadamiza wananchi....haya mafisi ni ya kuogopwa zaidi ya UKIMWI.
Mkuu pongezi kwa kuliona hilo
 
Hu huyu ni kama nape, ni opportunist kichwani kajaza gas ya mtwara
 
Akae kimya, kwa sababu hajafanya utafiti wa kkisayansi kuonesha kuwa ahadi zitatekelezwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…