jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,533
Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi ndugu alhaji Bulembo amemshukia lowassa na kumtaka aache Rais Magufuli awatumikie wananchi wanyonge na pia amemkumbusha lowassa kutimiza ahadi yake aliyoitoa kupitia mahojiano na mtangazaji wa BBC ya kwamba akiukosa urais ataenda kuchunga ng'ombe Monduli.
MAONI YANGU:
Bavicha wajifunze kuhoji zile ahadi zilizowafanya wazungushe mikono...mfano ahadi ya lowasa kuhama na mafuriko ya wanachama kutoka CCM,Haijatekelezwa hadi leo.
Pia lowassa ajikite kwenye kuchunga Ng'ombe kwani alishapewa nafasi ya kutumikia wanyonge badala yake akajineemesha yeye na kikundi chake sasa amuache Rais Magufuli atumbue majipu na pia ajiandae kutumbuliwa jipu asitafute public sympathy.
Source:Magazetini