Lowassa ikulu anaingia,atayejaribu kupingana na nguvu ya umma atajuta kwa namna yoyote,,,tumeshajua wakuanza kuwashitaki pale fujo ztapotokea ktk uchaguz...Bulumbo,masakaburi,na viongozi wao wa chama kwa kutokemea kauli za wanachama wao...tunasubiri tuone kama NEC watakemea hizo kauli,wasipokemea nao ndani,,,watashitakiwa ICC na hapa Tz...wasome kilichotokea Ivory Coast,tena alyekuwa anagombea alkuwa incumbent president, matokeo yake yeye na mke wake wameishia jela,familia imeangamia...Tanzania ni ya wote,kwa hiyo wanaoapa kutokabidhi madaraka wajue Tz siyo mali yao ...TUTAWAFUNDISHA KWA KWELI,WASUBIRI