Bulembo ahatarisha amani ya nchi, achukuliwe hatua!

Bulembo ahatarisha amani ya nchi, achukuliwe hatua!

Sasa uchaguzi wa nn kufanyika? Kuna sababu gani za kutokomeza kodi za walalahoi? Gharika linaposhuka watu hunena kwa lugha ni hili linaonekana wazi kwa CCM kushindwa mapema!!!!!!! Mmeliwa safari hii

Unamjibu mtoto achana naye, huyo watu wanamuita bibi!! Hiki kituko, bibi gani anakesha MMU?
 
Bulembo ni wa kuupuuzwa sio mtu wa kutilia maanani maneno yake.Kama yangetamkwa na JPM yangekuwa na uzito lakini Bulembo mpuuzeni maana ndio uwezo wake umefikia hapo.

Waliompa nafasi ya kuwasemea ndio wamefilisika zaidi.
 
Msikilizeni JPM msiwasikilize wapambe wanaojipendekeza ili waje wafikiriwe baadae.mtu makini hawezi kumsikiliza Bulembo msameeni bure.

Huyo ndio atakupoteza kabisa anayesema Saddam alikuwa rais wa Kuwait?
 
Asante sana mkuu kwa kuliona hilo.Ngoja niweke sawa alivyosema "Vyote tutawapa lakini sio ikulu".
Binafsi nilishangaa sana na kuhoji ile kauli ina maana gani bila majibu!Huyu gamba ahojiwe na aeleze alikuwa na maana gani kusema vile.
Kama kweli vyombo vyetu vya dola viko fair vinapaswa vimkamate huyo Bulembo na atoe ufafanuzi wa nini alimaanisha kutokana na kauli yake kuwa wao maccm hawawezi kuwapa Ukawa Ikulu.

Hivi kauli hiyo si inakinzana waziwazi na dhana ya kufanya uchaguzi kwa lengo la kumpeleka Ikulu kiongozi ambaye ataonekana ndiye bora zaidi kwa wananchi, miongoni mwa wagombea kwa kutumia sanduku la kura?
 
Unachekesha kweli kweli wewe, nikuulize magufuli anamiliki ilani? Utanijibu lkn nikwambie hivi kwa mujibu wa katiba ya nchi serikali inayoundwa ni ya chama dola. hatuchagui mtu tunachagua chama na hii ni baada ya chama kutuelezea sera zake ndipo tunachagua. sasa kila chama kina mifumo yake, misingi yake,kina tabia yake,kina utaratibu wake,kina mazoea yake,kina misimamo yake Hivyo kwa tabia za ccm hatukitaki tena kimezalisha maadui wengine watatu zaidi Rushwa,Ufisadi na mizaha. kwa hiyo sasa tuna maadui 6
1Ujinga
2Umaskini
3Maradhi
4Rushwa
5Ufisadi
6Mizaha

Ili taifa lisonge mbele,liondoke hapa lilipo kwama ni lazima ccm kife kiingie makumbusho kama KANU, leo kenya na rwanda zipo dunia ya 2 sisi bado tupo dunia ya 3 ujinga kabisa!

Kilichokuchekesha nadhani sicho ulichokiandikia hapa, vinginevyo umemisquote
 
Huyo ndio atakupoteza kabisa anayesema Saddam alikuwa rais wa Kuwait?
Huyo msomi wa hadhi ya Udakitari lakini ambaye hata hajui Rais wa Libya kuwa alikuwa Ghadafi na badala yake yeye anatamka kuwa alikuwa Sadam!

Kweli inaonekana hali ya magamba kwenye uchaguzi wa mwaka huu imekuwa mbaya mno kiasi cha kuwafanya waweseke ovyo hadi kusababisha kutamka 'punba' hizo.
 
Kama kweli vyombo vyetu vya dola viko fair vinapaswa vimkamate huyo Bulembo na atoe ufafanuzi wa nini alimaanisha kutokana na kauli yake kuwa wao maccm hawawezi kuwapa Ukawa Ikulu.

Hivi kauli hiyo si inakinzana waziwazi na dhana ya kufanya uchaguzi kwa lengo la kumpeleka Ikulu kiongozi ambaye ataonekana ndiye bora zaidi kwa wananchi, miongoni mwa wagombea kwa kutumia sanduku la kura?

Mpuuzeni huyo kwani Ikulu ni ya CCM? Au ya nchi!
 
Asante sana mkuu kwa kuliona hilo.Ngoja niweke sawa alivyosema "Vyote tutawapa lakini sio ikulu".
Binafsi nilishangaa sana na kuhoji ile kauli ina maana gani bila majibu!Huyu gamba ahojiwe na aeleze alikuwa na maana gani kusema vile.

mkuu nimekumisije? nilifikiri 50mil. zimekusomba na wewe. mbona uliadimika kulikoni
 
Asante sana mkuu kwa kuliona hilo.Ngoja niweke sawa alivyosema "Vyote tutawapa lakini sio ikulu".
Binafsi nilishangaa sana na kuhoji ile kauli ina maana gani bila majibu!Huyu gamba ahojiwe na aeleze alikuwa na maana gani kusema vile.

Kweli kabisa hili gamba ni hatari kwa amani ya nchi
 
Mpuuzeni huyo kwani Ikulu ni ya CCM? Au ya nchi!
Hapaswi kupuuzwa bali achukuliwe hatua za kisheria kwa kuwa kauli yake inaweza kuliingiza Taifa letu kwenye machafuko.
 
Washaona kuna dalili yakushindwa lazima waseme ivyo,,,wameshikwa pabaya ccm
 
Nacc tunamwambia Ikulu c mali yake ni mali yetu na cc tumeamua kumweka lowasa sasa tuone atafanya nn? Pia akamtimtishe mama ake na bibi yake

Wewe nanani kama mnategemae Lowassa futeni wazo
 
Safari hii hatudanganyiki watanzania tumeamua kumpeleka Lowassa Ikulu kwa gharama zetu wenyewe pasipo kutegemea gharama za mtu yeyote wa kijani,kama hawatakuwa tayari kukabidhi Ikulu kwa mtu ambaye watanzania tumehiari kumpeleka Ikulu,wao watafute nchi ya kwenda kuishi ambayo hawatakuwa tayari kuachia Ikulu,kama ni Tanzania hiihii tutanyooka nao mtaa kwa mtaa mpaka rangi zao za kijani hazita kuwa kijani tena tutazigeuza na kuwa nyekundu.

Labda ikulu ya monduli na si Dar
 
Ana maana ya alichokisema, tatizo ni nini?

Tuwawachie Ikulu kwa lipi zaidi?

Tunahakikisha Magufuli anaingia Ikulu kwa tiketi ya CCM, si vingine.

am dead certain ICC are reading this.
 
CCM imetamka bayana kuwa hata wakishindwa uchaguzi hawapo tayari kikabidhi madaraka?
 
Sasa uchaguzi wa nn kufanyika? Kuna sababu gani za kutokomeza kodi za walalahoi? Gharika linaposhuka watu hunena kwa lugha ni hili linaonekana wazi kwa CCM kushindwa mapema!!!!!!! Mmeliwa safari hii

Huwezi kutulazimisha tumpeleke mgonjwa Ikulu akaongoze Watanzania million 45.

Tunamchaguwa Magufuli kwenda Ikulu, ndiyo maana kuna uchaguzi. Na nnakuhakikishia tunampleka Magufuli Ikulu kwa kishindo.

Tulimyema Slaa CCM na alipogombea uchaguzi hatukumpa kura, tumemtema Lowassa CCM na hatutompa kura.

Kumbuka, ikiwa sisi tumemuona mbovu, upinzani wamemuona anafaa, uelewe kuwa upinzani ni mbovu kupita kiasi, mbovu tuliyemtema sisi kwa upinzani kawa bora kuliko woooooooooote!

Majanga!
 
Back
Top Bottom