Uchaguzi 2020 Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.

Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajili hiyo.

Sijui Zitto Kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua

Pia soma > Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Mtani wangu Zito hongera kwa kuzaa na yule mdada mrembo
 
Hii ni statement au ni swali? Kwa sababu sioni alama ya kuuliza mwishoni bali kuna alama ya mshangao!
Statement haiwi na mshangao ina koma,hiyo msahngao haipo kwa bahati mbaya hapo.

Maana upo jamii forums unatoa yako ya moyoni,twiter upo,ukitaka facebook,na hata mtaani ukitaka ni wewe tu,kikubwa usitukane wala kudhihaki mtu.

Nashangaa sasa unataka uhuru upi??
 
Hala hala...Bulembo! kasome kisa cha Mfalme Midas, kinachoitwa "The Midas Touch", tunaojua chanzo cha chuki ya Bulembo kwa Zitto hatushangai, wasiwasi wangu ni badala ya Zitto kulia, asije kujikuta analia yeye!.

Japo najua kweli Bulembo yuko fit maana siku ile alipomhukumu kifo Zitto pale Bungeni, yeye mtoa hukumu anaendelea kudunda ila yule mshangiliaji hukumu ile kwa kupiga tu makofi amechomoka!.

Watu wengine sio wa kuchezea!

P
umeifanya asubuhi yangu iwe nzuri Sana ww mr.njaaa,hebu nipe hiko Lisa kwa ufupi!!!mzeee kinamuuma mtoto kuliwa utamu SS sijui alitaka ale yeye🤣🤣🤣🤣🤣
 
Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.

Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajili hiyo.

Sijui Zitto Kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua

Pia soma > Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Bulembo kwao ni ujiji? Maana ujiji ndiyo hawamtaki zzk
 
Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.

Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajili hiyo.

Sijui Zitto Kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua

Pia soma > Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Rais wa twitan mh kigogo kampa onyo mzee bulembo asiendee na mambo ya kitoto nafikir ujumbe atakua kaupata

Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
 
Kuna watu na viatu, hivi Bulembo ana lipi la kujilinganisha na Zzk? Iwe kujenga hoja au kukubalika kwa wana kigoma?

Zzk alijisimamia kugombea ubunge na mungu akamjalia akachaguliwa na wapiga kura wake.

Huyo Bulembo sijui kama hata anaweza kujieleza kuomba kura za ujumbe wa nyumba kumi.

Hivi huyu si alikuwa viti maalum?
 
Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.

Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajili hiyo.

Sijui Zitto Kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua

Pia soma > Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Bulembo anachotafuta ni jinsi Mwenyekiti wa CCM taifa kumuangalia kwa jicho la huruma
CCM ya sasa haihitaji ushawishi wa wanasiasa aina ya Bulembo.
Kidumu chama cha CCM
 
Back
Top Bottom