Uchaguzi 2020 Bulembo aahidi kumng'oa Zitto Kabwe kwa udi na uvumba

Kiukweli huyu jamaa ni anajimwambafy tuu kufuatia ZZK kumuumiza sana kichwa Mzee, hivyo sasa ni mashindano ya Kujipendekeza kwa kujimwambafy kuwa anamuweza ZZK ili aendelee kuteuliwa!, kiukweli kabisa this is among the totally empty shells kule mjengoni!.

Zitto Kabwe asipogombea kama mgombea wa pamoja wa upinzani, endapo Tundu Lissu hatarejea, then Zitto ndio mgombea pekee wa upinzani kwa huku bara mwenye guarantee ya kurejea Bungeni na sababu ni moja tuu...
Naomba nisiitaje!.
P
Mnaleta marumbano ya mafumbo kati yenu wawili. Naomba kama ni yenu nendeni private. Hapa leteni mambo ya wazi ya kujadiliwa na watu wote! Mafumbo ya ..., St Peter's, n.k. hayatuhusu! Please!!
 
Nakumbuka yule mama wa watu alishangiria sana baada ya Bulembo kusema wasaliti wauawe, mwisho wa siku yule mama alifariki
Hawa wazee wengine maneno yao aibu tupu sijui huyo mtoto wake anajiskiaje. Ukiwa na mzee kama Bulembo ujiandae kuwa mchawi tu
 
Bulembo ajiheshimu, Utofauti wa Vyama usimfanye akapagawa na akavuka mipika za heshima kwa Mkwe wake. Atambue Zitto ni sehemu ya Familia yake ( Mkwe)
 
Bulembo na kama yeye wakapimwe akili. Ma CCM wamekwishiwa. Demokrasia nchini wameuwa kwa kuwa wanafikiri vyombo vya usalama vipo upande wao. Tumeona wengi madikteta uchwara na mwisho wao haukuwa mzuri. Watanzania wamelala lakini siku wakiamka naona chato hapatoshi.
 
Ukishakuwa CCM ni lazima ukose akili, ni kama laana yaani! Mtu ameteka watu, amepoteza watu, amepiga watu risasi mchana kweupe,maiti zimeokotwa kwenye viroba, anatesa watu, anagandamiza uhuru wa kujieleza, kazi kubwa anayofanya ni kung'ang'ania kusifiwa for nothing. Halafu poyoyo unakuja hapa na kudai kuwa akifananishwa na wauaji wengine ni mzaha!Serious?!Nikisema kuwa wewe ni mpumbavu nitakuwa nimekuonea?
@ Mwanakijiji Mzee na Paschal Mayala
 
Akizingumza na kipindi cha Clouds 360 Bulembo amesema inyeshe mvua liwake jua ataweka kambi Kigoma kuhakikisha kuwa Zitto harudi tena Bungeni.

Ameahidi kutumia mafao yake kwa ajili hiyo.

Sijui Zitto Kabwe kama atagombea ubunge ama urais. Yote kwa yote Abdalah Bulembo kaamua

Pia soma > Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

kinachokwenda kumtoa zitto kwenye ubunge si kwa sabb hana sifa au anagombea nae anasifa, hapana..... kitakachomtoa ni sera 2020-2025..

kwa wanaojua kitabu cha sasa kila ukurasa unamaandishi ya kijani.... rejea hotuba ya presidor juzi...
 
Mzee ana wivu hatari huyu, alitaka apapaswe yeye? Tena Zitto afanye haraka kama kuna binti mwingine hapo amchape na yeye!
 
Ukishakuwa CCM ni lazima ukose akili, ni kama laana yaani! Mtu ameteka watu, amepoteza watu, amepiga watu risasi mchana kweupe,maiti zimeokotwa kwenye viroba, anatesa watu, anagandamiza uhuru wa kujieleza, kazi kubwa anayofanya ni kung'ang'ania kusifiwa for nothing. Halafu poyoyo unakuja hapa na kudai kuwa akifananishwa na wauaji wengine ni mzaha!Serious?!Nikisema kuwa wewe ni mpumbavu nitakuwa nimekuonea?
Mbona povu,jamaa ameshare picha kama wewe ulivyo share,huyo gado ndiye alikuwa anaambiwa.
 
Waliokuwa wanampinga Gaddo kuchora hiyo katuni hawana hoja na ni wapumbavu! Mtekaji, muuaji, mnyanyasaji, mtesi, mpiga watu risasi mchana kweupe, mgandamiza haki ni vyema na haki afananishwe na wauaji wengine. Right?
Aliulizwa lisu na mtangazaji,ni kwa namna ipi jamaa ni muuaji!!!??,lissu nguli wa sheria na miongoni mwa wahanga alibabaika kujibu.
 
Mhanga wa mauaji, utesaji, ugandamizaji wa haki za watu,unyanyasaji,ugandamizaji wa uhuru wa kujieleza na kadhalika ni Lissu peke yake?Lissu yeye ni nani hadi atumike kama kigezo cha kuthibitisha kwa niaba ya mamillion ya watanzania wanaonyimwa haki zao za msingi?
Mamilioni ya watanzania wapi wananyimwa haki zipi!!!!
 
Kwenye kila comment yangu hapo juu nimeorodhesha haki za msingi ambazo watanzania wananyang'anywa na bado unaniuliza ni haki zipi? Unajua kusoma?Halafu kwenye comment zangu hapo juu nimekuuliza maswali ya msingi sana, kwa nini huyajibu?
Maswali ya msingi sana kwako.si lazima yawe kwa kila mtu.

Mimi nimeuliza swali watanzania mamilioni wanaoporwa au kudhurumiwa haki zao za msingi ni wepi na hizo haki ni zipi???unataka uhuru upi wa kujieleza zaidi???

Unaweza ukaandika kinachosomeka,sababu kipo katika alphabeti zinazofahamika,ila kueleweka ndio ikawa tatizo.
 
Back
Top Bottom