luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,709
- 8,918
Hapa ni mangi mkuu mareale akiwa ktk ikulu yake Moshi mwaka 1952 aliootembelewa na mtoto wa malkia ElizabethHivi hawa jamaa mbona wanakaubaguzi fulani hivi! Sasa anasema Moshi ilikuwa Dora kamili na anasema ingeachwa, hajui kulikuwa na Dora za maana sana kuliko hiyo ya ukabila, nakupa Dora zilizokuwa zimeshiba Mkwawa (mkwava),
Huyu jamaa alitawala siyo wahehe tu.
Kuna kiboko mwingine anaitwa Mtemi Mirambo huyu alitawala sehemu kubwa sana pia alipigana vita nyingi sana.
Acheni ubaguzi wakikenya. Msituchafulie hali ya hewa Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unabishana na fact? Endelea kusubiri meli airportHuyo amejitekenya mwenyewe. Hahahahaha kweli nyie watu mnahangaika kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nadhani ndiye alikuwa Mlengwa ya huyo Mpiga picha.Ukiachana na muonekano wa iyo stendi uyo mzungu hapo na pensi yake umemuona??
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kumuumbua huyu muongo, nilishamwambia ukatoliki ulianzia Kilimanjaro kabla ya kagera lkn anakuwa mbishiAcha kujidanganya kijana,hilo kanisa lingejenwa wakati huo lingekuwa kwenye historia ya ukristo Tanzania....,
Ukristo uliingia Tanganyika 1868 pale Bagamoyo na kujengwa kanisa la kwanza ukielekea Kaskazini mpaka Kilema 1880-85 palipo simikwa kanisa la pili then Kibosho 1892-93,baada ya hapo walijigawa wengine walitembea na reli ya kati mpaka Tabora ndipo walipotawanyika tena kuelekea lake zone hiyo ilikuwa 1900s....,sasa ukisema kanisa limejengwa 1892 ni uongo.
Ngoja niitafute hiyo historia ya kanisa kisha nii attach humu uone jinsi unavyopotosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi ongea history ya ukristu Tanzania bila kuitaja bukobaAcha kujidanganya kijana,hilo kanisa lingejenwa wakati huo lingekuwa kwenye historia ya ukristo Tanzania....,
Ukristo uliingia Tanganyika 1868 pale Bagamoyo na kujengwa kanisa la kwanza ukielekea Kaskazini mpaka Kilema 1880-85 palipo simikwa kanisa la pili then Kibosho 1892-93,baada ya hapo walijigawa wengine walitembea na reli ya kati mpaka Tabora ndipo walipotawanyika tena kuelekea lake zone hiyo ilikuwa 1900s....,sasa ukisema kanisa limejengwa 1892 ni uongo.
Ngoja niitafute hiyo historia ya kanisa kisha nii attach humu uone jinsi unavyopotosha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha zoote ulizoweka hazijafikia hata nusu ya ubora wa mtaa wa majengo kwa mtei pâle moshi achilia mbali shirimatunda,Shanti town,kcmc au pasuaSasa umenitibua nakuletea picha mbalimbali za mitaa ya bukoba bila kugusa mjini Kati hata kidogo yaani suburbs ndo zinaletwa hapa sirudii picha please karibu.ukisikia bukoba ni pazuri ndo huku wanaposema.mkifika huko bukoba msiishie kashai na stendi tembea muoneView attachment 1012755View attachment 1012756View attachment 1012757View attachment 1012758View attachment 1012759View attachment 1012760View attachment 1012761View attachment 1012762View attachment 1012763View attachment 1012764View attachment 1012765View attachment 1012766View attachment 1012767View attachment 1012768View attachment 1012769View attachment 1012770View attachment 1012771View attachment 1012772View attachment 1012773
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtaa huu umejikuta unamagorofa Tu ni kibeta ipo mlimAni na ukiwa mjini unapaona Kwa juu.ukijani Hadi rahaAsante mzee wangu kwa kutoa clarification
Bk kwa moshi ni takataka kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu muungwana akivuliwa nguo huchutama,naona mzee kinusikwetu kakuvua nguo unaulizwa SEMA sehemu yoyote bk akujibu unakodoa kodo hahahaWe ulitoka kuhiji na unatuletea uongo hapa.kwanza huko mugana kuna majumba ya ajabu na pia uliona jinsi ukatoliki ulivyoshika haswa sio Kwa idadi Ile ya watu .mji wa bukoba unakauka gafla kisa imani Kwa bikira Maria
Sent using Jamii Forums mobile app
Mangi mareale alipokutana na mwana malkia wa uingereza mwaka 1952 ktk ikulu ya Moshi
Una ubavu gani wa kusema bukoba ni takataka wakati ina mitaa iliyojengeka .mtaa huu maarufu kama kyebitembe km 5 kutoka town unajengeka Kwa Kasi huku migheto ya maana ikiporomoshwa naomba uniletee mitaa ya moshi mi naleta nyamkazi,kashura,kibeta,anyama, kagondo kaifo na karugulu pamoja na kyakairabwa.hebu tazama migheto hapo kyebitembePicha zoote ulizoweka hazijafikia hata nusu ya ubora wa mtaa wa majengo kwa mtei pâle moshi achilia mbali shirimatunda,Shanti town,kcmc au pasua
Sent using Jamii Forums mobile app
Ihungo schools and estates bukoba . sehemu ipo km nne kutoka mjini na imeanza kujengeka Kwa kasiHahaha mkuu muungwana akivuliwa nguo huchutama,naona mzee kinusikwetu kakuvua nguo unaulizwa SEMA sehemu yoyote bk akujibu unakodoa kodo hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio inaanza kujengeka,afu porini balaa Moshi yote Hakuna pori hivyoIhungo schools and estates bukoba . sehemu ipo km nne kutoka mjini na imeanza kujengeka Kwa kasiView attachment 1013131View attachment 1013132View attachment 1013136View attachment 1013137View attachment 1013138
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kwako hiyo ni migeto? Vinyumba visivyopakwa hata rangi? Kamtaa hako nakushindanisha na mtaa wa mwika pale Moshi vijijin maana nikikupa mtaa wa Moshi mjin itakuwa ni matusiUna ubavu gani wa kusema bukoba ni takataka wakati ina mitaa iliyojengeka .mtaa huu maarufu kama kyebitembe km 5 kutoka town unajengeka Kwa Kasi huku migheto ya maana ikiporomoshwa naomba uniletee mitaa ya moshi mi naleta nyamkazi,kashura,kibeta,anyama, kagondo kaifo na karugulu pamoja na kyakairabwa.hebu tazama migheto hapo kyebitembeView attachment 1013128View attachment 1013129
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Porojo nyingi leta nawe pichaKwako hiyo ni migeto? Vinyumba visivyopakwa hata rangi? Kamtaa hako nakushindanisha na mtaa wa mwika pale Moshi vijijin maana nikikupa mtaa wa Moshi mjin itakuwa ni matusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Angesema tu huyo ndie richard turnbull alitembelea kilimanjaro akiwa na pensi yake maana alikuwa nasikia jotoNa nadhani ndiye alikuwa Mlengwa ya huyo Mpiga picha.
Hivi unajua kwanini Hali ya hewa ya bukoba haibadiri na inabaki kijani mda wote bila ya kiangazi.ni Kwa sababu ya tabia hii ya kujenga huku mazingira yakitunzwa na naturality bila kupoteaKumbe ndio inaanza kujengeka,afu porini balaa Moshi yote Hakuna pori hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha eti stand ya mabasi ya shirika la reli kwahiyo reli huwa zinapaki stand? Hahaha sina mbavuHapo ni stand ya mabasi ya shirika la reli (TRC).Karibu mikoa yote zilikuwepo.
Usisahau na Kishumundu