Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Wahaya mmesikia hii?
Kyawanjubu
instanbul
sundoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua Christ the King Cathedral ndio largest cathedral in Tanzania nitakuletea picha.
Hili hapa .ndo unataka ulinganishe na mater misercodie cathedral ya bukoba.ingawa kuna parokia kama Rubya na itahwa ni kubwa zaidi ya cathedral hiyo.kwenye upande wa dini msiongeee kabisa Kwa sababu bukoba ukatoliki na ulutheri umechimba miziz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure nimeona basi yetu mapigo sita hiyo yenye carrier nyeupe benford, nimeiona smaa bus, kishimbo bus, safari rally bus,Frontline na mengine kibao
 
Hilo halifiki nusu ya kanisa la rutabo kule kamachumu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimanjaro ndipo wamisionary walitangulia
Ukatoliki na ulutheri upo kwa wingi moshi tena kwa kijiografia mfano
Machame siha,old Moshi ni walutheri 99%
Kibosho,uru,kilema,himo,marangu, rombo ni wakatoliki 99%
Pia ktk majimbo katoliki 34,maaskofu wa kutoka jimbo la moshi ni 11
Moshi ndio ngome ya ukatoliki ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…