Uwe unaudhibitisho na unavyovisema eti vya juzi unajua tanica ni ya mwaka gani? Kwa taarifa yako bukoba kuna viwanda vitano vya kahawaHivi vya juz tu moshi tangu miaka ya 1970's vilikuwepo vya kubangua kahawa na jengo la kncu Kilimanjaro ndio jengo la kwanza tz kuwa na lift
Sent using Jamii Forums mobile app
Bukoba hii iliyochakaa itunyime usingizi? Hebu acha vituko level ya Moshi ni London
Great historyEnzi hizo mabus ni Kinabo & Morning star,Harambee,Samanga safaris
Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia kati ya Moshi na bk ni wapi walipotangulia kujenga viwanda vya kahawaUwe unaudhibitisho na unavyovisema eti vya juzi unajua tanica ni ya mwaka gani? Kwa taarifa yako bukoba kuna viwanda vitano vya kahawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Milima ndo inaufanya mji wa bukoba uwe WA kipekeee na upendeze.mji ukiwa na milima unapendeza Sana ukiuview
Wapi wewe utadhan pori la akiba selousMilima ndo inaufanya mji wa bukoba uwe WA kipekeee na upendeze.mji ukiwa na milima unapendeza Sana ukiuview
Sent using Jamii Forums mobile app
Bukoba hii iliyochakaa itunyime usingizi? Hebu acha vituko level ya Moshi ni LondonView attachment 1012453
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikwambia ulete kanisa kuu la Jimbo yaani cathedral ulinganishe na la kwetuMakanisa ya Vijiji vya huko Kilimanjaro
The Great Haya
sundokaView attachment 1012465View attachment 1012466
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss umesoma kichwa cha uzi? Bukoba imetoka wapi? Hivi hakuna discussion ya Moshi bila Bukoba?? Hebu kuweni na akili mpya basi mnajidhalilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu mji mdogo wa tarakea rombo unaizidi kwa mbaali bukoba cheki hapo chini eti ni bukoba mjin duhh mavumbi télé ndio.maana funza hawaishi hukoView attachment 1011894
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wameanza kusema wenyewe huwezi palinganisha na Bukoba. Miji mingine haipo??Mnachanganya maudhui ya huu uzi.. Tunaongelea moshi yani some people are real something
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua Kiswahili wewe? Senyenge ndio nini??Wahaya hawawezi kusema SENYENGE husema sengenge!
Kama kwenye ule uzi umetuumbua turudi kule basi! Kama utathubutu kutia mguu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi wewe utadhan pori la akiba selous
Check mji wa Moshi ulivyopangika utadhani Toronto (in mwanri's voice)View attachment 1012470View attachment 1012472
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama cha ushirika (co-operative society) ya kwanza Africa ni KNCU. Na chuo cha Ushirika ndio the oldest co-operative institution in Africa na pia the Moshi Co-operative University ndio Chuo Kikuu pekee Afrika kinachotoa degree in co-operative education in Africa. Chuo hiki ni moja kati ya few East African centers of excellency. Ni pamoja na Mweka Wildlife College ambacho kinatoa pia degree in wildlife management.Fuatilia kati ya Moshi na bk ni wapi walipotangulia kujenga viwanda vya kahawa
Sent using Jamii Forums mobile app