Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
mnatuumbua kwa hizo picha za gest za vyumba vitatu .mlivyojenga kwa msaada wa rambirambi?
mnachekesha nyie n washamba tunawachora tu
 
Uongo na majungu havijengi. Aliyekwambia nani? Wivu utakuua.habar ndo hiyo ,angalia usilie bado nawaletea picha motomoto ukizingatia bk ni pana sana vilima 70% ya mji sijavigusa bado.utaumbuka sana mwaka huu
yan niumbuke kwa vi pcha vya gest bubu mlivyojenga kwa msaada wa rambirambi?
tatizo menu ushamba mwingi hivyo vijengo kule kwetu n uchaf
 
Hakuna mhaya wa kuhangaika ku compare Bukoba yake na huo uchafu wa Moshi. Wachaga ndo mnahanaika kujilinganisha na Bukoba. Kwanza ni aibu kwa mhaya kujilinganisha na mchaga. Ni kujishusha. Angalia nyuzi nyingi humu zimeanzishwa ama na wachaga wenyewe au wenye mrengo wa kuchukia wahaya. Nadhani unanielewa vizuri
 
chema chajiuza kibaya chajitembeza
 
Acha kuvuta wewe. Mtu gani wa Bukoba alinganishe Bukoba au Mwanza (Kanda ya ziwa) na huo uchafu wenu wa kaskazini?? Ni kujishusha kabisa maana sisi tunajua tupo level tofauti kabisa. Angalieni nyuzi nyingi mnaanzisha nyie na mnagalagazwa. Mkome
 
eti ombi, tena kwa herufi kubwa!! Yaani dume zima unaomba?? Acha kudevela weka evidence. Unaleta kutia huruma. Hapa unabishana na wanaume wa shola kutoka kanda ya ziwa ongea kiume mkuu unadhalilisha wenzio
 
Unadhani Bukoba na Kagera unaijua peke yako??? Yaani katika yote umeona stend ndo shida. Tunakupa miezi tu utakosa cha kiandika.

BTW na mimi naijua Moshi na Kilimanjaro in and out bro. Huwez linganisha na Buloba hata siku 1. Moshi mjini ni kaeneo kadogo sana kalikojengeka ukisogea kidogo tu ni kituko. Bukoba imepanuka na imesambaa
 
Moshi ni mji wa kitalii, BK unaweza kumaliza mwezi bila kumwona mzungu
Sasa unafikiri hotel ulizoziona ni za nini? Usifiki bukoba sio mji wa kitalii pia? Tena ni wengi kweli bukoba ni mji wa kihistoria na unatembelewa sana ndo maana mkulu anataka kupanua bk airport maana safari za ndege ni nyingi
 
Aliyekwambia ruge ndie aliyeiba ni nani? Angalia yasije kukuta ya kusekwa rumande
 
Ni kweli mkuu. Maana nimekumbuka kwenye vyeti feki vilivyoshughulikiwa na mkuku Kilimanjaro ndo iliongoza na mwenzake Arusha. Samahani kwa kusema ukweli bandugu
 
Nasema tena umewahi fika moshi? Mwisho wangu wa kufika bk ni mwaka 2016. Nachokuambia maeneo yote nayajuwa. Usilinganishe moshi na bk. Nimekuambia mnaizidi moshi maji ya ziwa tuu. Naweza sema bk ilinganishwe na bomang'ombe
Nami nayajua maeneo yote ya Moshi. Baba mmepitwa mbali. We chukua kombe la mbege utulizie machungu
 
Kweli we kibibi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…