jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 630
mkuu hapa umeuaa ukiwapa takwimu wanakimbia kuleta vi jengo walivyojenga kwa msaada wa rambirambi
Ongelea figure kama hizi achana na ujinga wa kelele za vijengo vya ghorofa 3. ..fact never lay..
Kweli unaichukia bukoba na maendeleo yake aliyekwambia bk nikagera nzima ni nani ? Hata mwanza ni mkoa maskini lakini jiji ni la pili kwa ukubwa nchini.linaizidi mbali arusha na Kilimanjaro ambazo ni tajiri unaelewa vibaya data nadought elimu yakonisipoweka picha itabadili ukwrli?
nyie watu n washamba sana takwimu xa kiuchumi huon mkoa wenu ulivyo hoi? au mnadhan uchum n huto tu gorofa tuwili mliojenga kwa msaada wa hela za rambirambi?
Huoni picha maana wachaga hawana muda wakupoteza kuzungunga mji kupiga picha kuja kukuridhisha wewe hapa.. Yaan unamjua mchaga unamsikia ?? Aache kutafutabpesa apoteze dakika na muda kuzungukia mjini na maeneo yote kupiga picha ambazo hazimuongezei hela lkwenye maisha yake ..eti ili aje kujikweza hapa mtandaoni. Hahaha ata hizo ulizo ona hapo juu walio post nizile amabzo wanazo kwenye simu siku nyingi walzo rushiwa na ndugu zao wakati ilo njengo la NSSF lilpozinduliwa wengibwao wakio mikoani kutafuta maisha tu ndio maana una ona wengi hawana picha zakupiga sana sana utaona amegoogle tu akapiga ile ya satilite .. No time to waste for no gain.. Nyie tu wahaya wapenda sifa ndio mna muda wakutafuta sifa kwa gharama yoyote.. Keep it up..Picha bro majungu ya nini ? Tunatangaza miji yetu na bado picha za bukoba hazijaisha data huwekwa na watu sio miungu.nyuzi huwa ni za kitalii zaidi bukoba inaizidi kupaa hebu nitajie mtaa gani bk hakuna lami.stendi ndo inakamilika mwezi mei.maji si shida bk.sasa kitu gani unaongea hapo shida wengi hawaamini kuwa ndo bukoba hawakutegemea.maana walishakaririshwa na chuki ni kubwa dhidi ya wahaya kisa maendeleo yao
Utabaki kusema hayo hayo weka picha za vijiji vyenu shubamiiiitiHaahahaaa mkoa wako wa kishamba sana mkuu unazidiwa hata na chatttoo
Wachaga mlivyo wagumu, ndio Maana watu hawafungui vitu vya Maana Kwa sababu hakuna watu wa bata (starehe). Na ndio Maana Kilimanjaro panaitwa vijiji vya wagumu na hii inadhihirisha kuanzia Simu mnazotumia hazina uwezo wa kupiga picha, mmeenda Kilimanjaro kutambikia majini mnashindwa hata kupiga pichamnachekesha
itachukua miaka 50 bk ifikie mosh ktk nyanja za maendeleo
Nimeelewa Leo kwa nini hata mlima wetu wanasema uko Kenya yaani watu wanaiba vivutio vyetu kwa sababu ya sisi kutovitangaza vitu vyetu.ushauri hiyo tabia sio nzr na inarudisha sekta ya utalii nyumba na kupunguza mapato.napenda sana walioanzisha nyuzi kutangaza miji na mikoa yao mfano mwanza,arusha,mbeya,iringa nk wanatangaza mikoa yao na hivyo kuukuza utalii wa ndani na nje.we unasema kupenda sifa sawa mlishakaririshwa hivyo kuwa wahaya wanapenda sifa.hila sifa SAA nyingine zinasaidia hivi uone Kenya walivyopiga hatua kwa sababu ya kupenda sifa ya kutambuliwa kimataifa tena inapendeza zaidi zikiwa za kweli .mwisho watz tubadilike tupende vya kwetu anzisheni blog za kutangaza vivutio vyetu.post mitandaoni hiyo inakuza utalii wachaga na wenyeji wa moshi piga picha na tangazeni vivutio mlivyo navyo ili kukuza utalii na sio kubaki na majivuno tu ya maneno bishana kwa picha ili kuitangaza tz.Huoni picha maana wachaga hawana muda wakupoteza kuzungunga mji kupiga picha kuja kukuridhisha wewe hapa.. Yaan unamjua mchaga unamsikia ?? Aache kutafutabpesa apoteze dakika na muda kuzungukia mjini na maeneo yote kupiga picha ambazo hazimuongezei hela lkwenye maisha yake ..eti ili aje kujikweza hapa mtandaoni. Hahaha ata hizo ulizo ona hapo juu walio post nizile amabzo wanazo kwenye simu siku nyingi walzo rushiwa na ndugu zao wakati ilo njengo la NSSF lilpozinduliwa wengibwao wakio mikoani kutafuta maisha tu ndio maana una ona wengi hawana picha zakupiga sana sana utaona amegoogle tu akapiga ile ya satilite .. No time to waste for no gain.. Nyie tu wahaya wapenda sifa ndio mna muda wakutafuta sifa kwa gharama yoyote.. Keep it up..
Simu zenyewe zenye Camera, wanazo walivyo wabairi. Wanaingia kwenye Jamii Forum Kwa laptop za kuazima. Ubairi sana na ndio Maana Kilimanjaro inaitwa mkoa wa wagumuSidanganyi mkuu we waambie waweke picha, mwanzoni mwa huu uzi walizidiwa wakaweka majengo ya Iringa na arusha sasa wahaya wamejaa huko wakawaumbua ikabidi wasepe hawakurudi tena sasa hv wamebaki kuongea tu
Ila sifa hizo zinatangaza bukoba na kukua kitalii.moshi hamna uzalendo wa kutangaza mji wenu na KLM mpaka wanasema mlima uko Kenya mnatuabisha sanaJaman tambueni kwamba hakuna MTU mwenye sifa kama muhaya kwahiyo hamna uwiano WA mpenda maendeleo na mpenda sifa kwahiyo tuwaache na vipicha vyao vya majengo mawili
na hiyo nini au sio GDP tazama kagera ya ngapi ulinganishe na KLM pamoja ya kuwa na mlima.tena bk inajijengea stendi yake kwa kutumia own source sio misaada iliyotumika kujenga stendi yenu iliyojengwa hovyo subiri ya kyakairabwa imalizwe mwaka ni mtaona watu wa bk wasivyopapuka kuparamia miradi
Data za uongo izo weka Link, mbali na hapo ni sawa na Mwanaume msasambuaji katika vigodoro. Takwimu za watu kutokuwa na vyoo kwa Kilimanjaro ni 56% hawana vyoo bora unadanganya mpaka aibu. Wachaga vipaji vyenu ni wizi lakini mambo ya kitafiti waachaie Wahaya watu wenye akili TanzaniaWahaya .. Mnatatizo lasifa, na ndio maana hamna maendeleo.. Mmebaki kuoiga picha majengo waketi wenzenu wakilimanjaro mji ulisha jengengeka miaka mingi kwa sasa wachaga wana pambana kukuza vijiji nyiyi mnahangaika na vijengo vya mjini vipya ndio vina gorofa tatu.. Wakati kilimanjaro kwanzia miaka ya 1980 walishakuwa na majengo ya gorofa 12. Tena mengi..
Sasa hivi tunajipima kwa maendeleo ya data, uchumi wa mkoa, mahitaji ya jamii, pato la mtu mmoja mmoja.. Miundo mbinu yenye hadhi ya kisasa. Maisha bora ya kipato cha kati..
Tafuta data zakitaifa kujua mkoa wako uko level gani kwa kufanya rejea ya hayo niloyoandika hapo .. Achana na vijengo vya kijinga wakati miundombinu ya barabara, maji, pato la jamii yako, vyoo tu tatizo mkoa aslimia 79 hawana vyoo bora, huu tu ni ishara tosha kuwa bado hamja staarabika .. Kilimanjaro asilimia 13 tu ndio haina choo bora ..miundo mbinu ya bara bara, maji na elimu tuko 97 % tunaongoza kitaifa uko bukoba kwenun mko 37% .. Tafuta data kaka wewe jipambanishe na lindi ndio figa zenu zina kimbuliana
Wambie maana hawajui kuwa picha ni muhimu hasa kwenye utalii nimeona kwa nini na mlima wetu unapelekwa Kenya kwa sababu ya ujinga wa kuamini takwimu.takwimu zenyewe haziwasaidii nani afikirie kuwekeza moshi.bukoba hata kama wahaya hawajengi ipasavyo lakini kuna wawekezaji wa kinywarwanda, kiganda,kinyambo,nyankole hata kama watz hawapendi wahaya na kuwaogopa watu wa nchi jirani wanawekeza hasa wanyarwanda ikichukuliwa nchi yao imejaa hivyo bukoba ndo kimbilio na wanaomba uraiahayo sindano imekuingia!!! Sasa kwa akili yako utamshawishi vp mtu ambaye yuko katavi kwamba aje kula bata moshi na si bukoba???
Haha!! Hawana muda wa kupiga picha ila wana muda wa kupiga umbea hapa jf kwa kuanzisha mada za kutukana wenzao!!? Sijajua kama hiz ndo tabia za wachagga wote au ni wachache wasio na kazi za kufanyaHuoni picha maana wachaga hawana muda wakupoteza kuzungunga mji kupiga picha kuja kukuridhisha wewe hapa.. Yaan unamjua mchaga unamsikia ?? Aache kutafutabpesa apoteze dakika na muda kuzungukia mjini na maeneo yote kupiga picha ambazo hazimuongezei hela lkwenye maisha yake ..eti ili aje kujikweza hapa mtandaoni. Hahaha ata hizo ulizo ona hapo juu walio post nizile amabzo wanazo kwenye simu siku nyingi walzo rushiwa na ndugu zao wakati ilo njengo la NSSF lilpozinduliwa wengibwao wakio mikoani kutafuta maisha tu ndio maana una ona wengi hawana picha zakupiga sana sana utaona amegoogle tu akapiga ile ya satilite .. No time to waste for no gain.. Nyie tu wahaya wapenda sifa ndio mna muda wakutafuta sifa kwa gharama yoyote.. Keep it up..
Nikweli moshi wanakwenda wenye akili na kazi maalumu,,kibali chakwenda moshi ukipate nikazi sanaHujui usemalo na bukoba unaisikia tu redioni .nilishasema siku nyingi wachaga siku hizi MNA majivuno mengi sana na matusi mengi bukoba ingekuwa haina kitu ingehitaji meli kubwa zenye uwezo wa kubeba watu 3000 zote wa kuelekea huko INA maana wanaenda kufanya nini wakati moshi mabasi hata watu miatano hawafiki kwa siku ikizingatiwa na bukoba mabasi yapo