Najua wengi hawataamini .Wanaandika porojo tu wakiibeza bk hebu tuone hii nalphin hotel yenye nyota tatu na nigh club yakeMkuu naona unazid kuwapa presha walishakukimbia zaman maana wenyewe wana jengo moja la NSSF eti nyumba zimejengwa vijijini!!!
Hahaaaaa nakuona nakuonaHebu tuone na hii smart oil and supermarket kibeta bukoba wahaya endeleeni kuwekeza bwana kesho ntawaletea mijengo iliyo under construction nikianza na ihungo geneva ndogo na shopping mall na stendi
Haahahaaa mkoa wako wa kishamba sana mkuu unazidiwa hata na chatttooEndelea tu kuniona bk halisi ndo hiyo
Juzi tarehe 16/12/2017 waziri Jafo alifika hapa akaomba wasipatamani wakapageuza kuwa chuo kikuu wapaache hivyohiyvo ili liwe eneo la kipekee hapa Tanzania maana kwa hadhi ile panafaa kuwa chuo kikuuKwa mijengo its over bk iko juu hiyo ni ihungo estate na ujenzi unaendeleamoshi mpo na bado nawakusanyia picha za bk
Weka picha, sio unabwabwaja kama mfereji wa maji taka weka ushaidi. Hakuna hats mmoja aliyeweza kupiga picha ya kuonyesha sehemu ya Maana. Maneno mengi kama wanawake wa kizaramo
mnachekeshamkuu huku tulishawamaliza wamekimbia na kwenda kuanzisha nyuzi nyingine huko et bk inazidiwa na biharamulo!!!!
Weka picha, sio unabwabwaja kama mfereji wa maji taka weka ushaidi. Hakuna hats mmoja aliyeweza kupiga picha ya kuonyesha sehemu ya Maana. Maneno mengi kama wanawake wa kizaramo
mnachekeshamkuu huku tulishawamaliza wamekimbia na kwenda kuanzisha nyuzi nyingine huko et bk inazidiwa na biharamulo!!!!
ushamba bhanaJuzi tarehe 16/12/2017 waziri Jafo alifika hapa akaomba wasipatamani wakapageuza kuwa chuo kikuu wapaache hivyohiyvo ili liwe eneo la kipekee hapa Tanzania maana kwa hadhi ile panafaa kuwa chuo kikuu
Naona Moshi huijui vzr...Naona Moshi wangewapa hadhi ya JIJI tuu
kwa msiojuaUnafikiri kuwa jiji ni sawa na kulala na mwanamke
hahaa umenichekesha eti jengo moja la nssfMkuu naona unazid kuwapa presha walishakukimbia zaman maana wenyewe wana jengo moja la NSSF eti nyumba zimejengwa vijijini!!!
nafikiri bukoba ni manispaa tayarikwa msiojua
moshi imetimiza vigezo vyote vya kuwa jiji isipokuakimoja tu cha ukubwa
bkoba hata hadhi ya manispaa haina maana mji mchafu vumbi mwanzo mwisho
ilipewa kimakosa I,think sonafikiri bukoba ni manispaa tayari
Sidanganyi mkuu we waambie waweke picha, mwanzoni mwa huu uzi walizidiwa wakaweka majengo ya Iringa na arusha sasa wahaya wamejaa huko wakawaumbua ikabidi wasepe hawakurudi tena sasa hv wamebaki kuongea tuhahaa umenichekesha eti jengo moja la nssf
Eti moshi ina sifa ya jijiilipewa kimakosa I,think so