Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Oi kaitaba stadium ambayo ukiondoa ya dar hii ndo INA mfumo wa tiketi za electronic na ni wa tatu kwa ubora tz baada ya azam na taifa moshi muuchore
 
Oi kaitaba stadium ambayo ukiondoa ya dar hii ndo INA mfumo wa tiketi za electronic na ni wa tatu kwa ubora tz baada ya azam na taifa moshi muuchore
Moshi hata timu ya mpira ya ligi kuu haipo
 
Yaani bwa mdogo unachekesha! Yaani unaona Morogoro inaizidi Bukoba???? Au unadanganywa na kuwa karibu na Dar
 
Ok mkuu, ngoja niende huko nikavinjari, kiwanja cha kuchangamka ni kipi hapo?
Kuna coffee tree inn,pk top hills hotel kama unapenda milima na perfect na BCD Stella maris,kolping hotels,kyanyi resolt,elct,q bar,kilitime,smart,na beach kama kiroyera, bunena,Miami,na kabuhara na pia kuna Lina's, na Casanova na liquid lounge nk nitachoka kuzitaja zote
 
Yaani hizo picha za Moshi wanazoonesha sehem chache wanazirudia rudia ndo mnasema Moshi panaizidi Bk?
Wanarudia picha zilezile na zingine za arusha na iringa eti ni moshi moshi padogo sana mkichokonoa nitawaletea vilima vya bk 70 % ya mji hapa sijavileta
 
Moshi katika picha

Kama mlikua hamjui pia Moshi kuna mbuga ya wanyama

Amazing
Moshi ina mbuga ya wanyama??? Kuna watu mmelewa kabisa! Moshi hakuna mbuga za wanyama, zipo wilaya zingine za Kilimanjaro. Huu uzi ni "Bukoba" na sio Kagera vs "Moshi" sio Kilimanjaro! Tulieni mpigwe hivyo hivyo
 
Asante kiongozi
 
Bukoba tena bugabo house rwabizi plaza kaitaba stadium bukoba miembeni buyekera bukoba nyakanyasi mkoani kilimahewa
Kama unaifahamu Moro vizuri na bukoba huwezi fananisha huo uchafu wa bukoba na Moro au moshi, bukoba linganisha na kigoma,TABORA,Shinyanga na mara
 
Kama unaifahamu Moro vizuri na bukoba huwezi fananisha huo uchafu wa bukoba na Moro au moshi, bukoba linganisha na kigoma,TABORA,Shinyanga na mara
Maneno hayasaidii na Mimi naweza kusema chato inaizidi dar kwa maneno tu leta picha mbona picha za moshi hamleti mkileta mnaleta vijiji na wilaya nyingine au hata miji mingine kama mwanza, arusha, iringa nk hata picha hamna.nakwambia na ushaidi naleta wa picha bukoba inaigalagaxa moshi
 


BK ni majanga tu, uzuri ni kwamba hata wewe mwenyewe unajuwa hili. Hiyo idadi ya watu wapandao meli kutoka BK kwenda Mwanza ni kwa ajili ya kutafuta mahitaji na kujiuza kwani Mwanza ndiyo mji mkubwa kwa kanda ya ziwa.....hata kusafisha picha (negative kipindi kile) ilibidi mpiga picha mpaka aipeleke Mwanza kwanza kuoshwa. Mahitaji yote makubwa mpaka Mwanza, jiji la Bukoba limekaa kihasara sana, tofauti kabisa na majivuno ya wahaya wa Mwananyamala, Tandale, Sinza, Makaburi ya Kinondoni, Uwanja wa Fisi. Ni hasara tupu.
 
Tuonyesheni mji anaowakilisha Zitto tucheke jamani. Kajamaa kako kanabishana na uongozi uliotukuka kutafuta kick anasahau hata na kupeleka maendeleo jimboni kwake, kajamaa kana dhambi ile mbaya.....yaani anawasahau wananchi wake kweli?
 
Habu niachane na wewe eti bukoba inaitegemea mwanza wakati mwanza penyewe mbali.mwanza ndo inaitegemea bukoba kwa chakula kama ndizi,sukari,majani na bidhaa nyingi kutoka mtukula.b tena ukija kuangalia bk INA uhusiano mkubwa na mtukula mji wa biashara,masaka,mbarara na miji kama Kigali kuliko mwanza maana ni karibu mfano toka mtukula hadi bk 3000 tu na ktk Kampala 10000 wakati mwanza 20000.pia huo mzunguko uliopo wa meli na mabasi huwezi ona mzungujo wa hela uliopa hasa bandari za bk na kemondo.yaani bk sehemu changamfu sana ni bandari,stendi,rwamishenye kwa sababu ya utransit wake,kashai na mwaloni bila kusahau mjini kati.watu wataokuja kwa meli watahitaji daladala,kula ,kulala nk hivyo vyote ufanya mzunguko wa hela kuwa mkubwa tofauti na moshi isiyo na bandari
 
n kichaa pekee anaweza fananisha mji msafi kuliko yote tz yaan moshi na ka mji kalikodumaa bukoba ambKo hata stand tu ya mabasi n vumbi
mzunguko wa hela moshi b Mara 500 ya bukba
moshi INA biashara nyingi mno
makampun makbw yapo moshi
bukoba tetemko liliwaumbua vijumba vya ajabu mjin
 
ingia web ya tra uangalie kati ya mishi na bukoba n IPI inachangia hela nyingi kwa maana y GDP then urd hapa
bukoba n ka mji ka hovyo kuwahi kutokea yaan stand n vumbi vijumba vimebanana utdhan hakuna mpango mji
nenda moshi uone mijengo ilivyopangiliwa
 
moshi mji msafi kuliko yote tz eti uifananishe na bukoba ambayo vinyumba vimebanana hata sehemu ya kutema mate hakuna unachekesha
alafu bukba hakuna daladal hili n ajabu jingine l karne ya 21
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…