Huu uzi wa kitoto sana. Halafu naona wana JF humu nao wamevutika kwa mjadala usio na tija. Mi natoka Lindi tuanze basi mjadala kati ya lindi na singidaKumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Hotel ni nyingi kama walkguard hotel,bukoba kolping hotel,victorious perch hotel,smart hotel,perfect hotel,transit, coffee tree hotel,sky motel,bugabo house hotel,bijampola hotel,elct hotel,lake view hotel,spice beach hotel,Stella hotel,prince motel na nyingine nyingi zilizopo rwamishenye kusini mwa bukoba na kama hujui bukoba kunajengwa shopping mall mtaa Wa miembeni.nkKama vp taja walau Hoteli kubwa tano za kitalii Bk.
Hata moshi sio mkoa.kilimanjaro ndio mkoaUmebugi kwa bukoba sio mkoa ni wilaya mkoa ni kagera wenye wilaya za biharamulo, muleba.misenyi,ngara,kyerwa,karagwe na bukoba mjini
Usithubutu kudandia treni kwa mbele utakufa mdauHuu uzi wa kitoto sana. Halafu naona wana JF humu nao wamevutika kwa mjadala usio na tija. Mi natoka Lindi tuanze basi mjadala kati ya lindi na singida
Samahani narudia tena picha ya mshikaji lakini nakuoneshea njinsi Alivyokupiga bao we niletee picha iliyopigwa kwa Drone ambayo inaonesha mji/mkoa sehemu yoyote ya bk iliyopgangika kama hii picha inavyoonekana hapo najuaAcheni kurudia picha
Asiyekubali kushindwa sio mshindani kubali tu chalii yangu ardhi haiwezi badilika.Huu mtanange sijui kama utaishaga tukae chini tujenge miji yetu ipendeze ila lengo kubwa la Uzi huu ni utalii Wa ndani wengi wetu hatujui miji yetu bongo ilivyo lengo ni kuonesha changamoto matatizo na mafanikio katika miji mingine tofauti na dar.bukoba na moshi ni miji miwili tofauti mno kwanza bukoba ni mji Wa milima na mawa kama mwanza moshi ni mji Wa tambarare kama arusha idadi ya watu miji inaelekeana na moshi ni mji Wa kitalii hivyo barabara na miundombinu lazima iwe mizuri lakini bukoba ni mji unaojikuza tu ndo maana kimajengo uko juu na umepanuka mno kuliko moshi hivyo basi ni vigumu mno kulinganisha miji hii miwili maarufu
Hashindwi mtu hapaHotel za ajabu