Bukoba ilitangazwa manispaa 1999 kumbe hauifahamu bukoba wewe na picha bado tena hii ni baada ya tetemekBaba usihangaike kumshawish mtu bukoba huwez ifananisha na Moshi ikiwa ushafka hzo sehemu,moshi pako vizur mara nyingi zaid ya Bukoba km hutaki shauli yako endeleen kujifariji maana nyie kila kitu kujisismfia,ila kumbuka Moshi ni manispaa na bukoba bado halmaahaur ya Mji wapi na wapi,japo mm cyo wa moshi wala bukoba lkn bukoba big Noo kwa Moshi
Kodi mnakusanya ngapi kwanza? Kilimanjaro kwa mwaka ni zaidi ya Billion 140Bukoba tenabk hamuiwezi
Huyo ni muhaya..full misifa..ht usihangaike nayeWe jamaa unachekesha kweli, unalinganisha Burundi na Kenya, inaonekana hujawahi kufika moshi
Elimu wee shule ilyoongoza kitaifa la saba na form four elfu 2016 ni ya wapi nshomile bado ipo urithiTuliza kitenesi mama, nshomile anataka ligi ya majengo na uzuri baada ya kugundua tayari wachaga wameshwapiga bao kwenye elimu
Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Hahaha...!!!
Badala ufananishe Moshi na Mwanza eti unafananisha na Bukoba?
kuna watu wanakosea wanatumbukiza picha ambazo sizo...ukiona hivyo ujue huyo mhamiaji...ajui atendalo..Uzi umeharibika tayari ..Kuna baadhi ya picha ni za iringa, arusha na mwanza
Mkuu hivi umeshaitembelea hiyo miji kwanza? Moshi IPO juu mkuu nawameshaomba kupandishwa hadhi ya jiji ambapo kikwazo kilikua ni ukubwa wa eneo tu na ilo wameshalifanyia kazi wamebaki kutangazwa tu.Ina maana moshi inaizidi Dom Moro na iringa kama sikosei kahama wanawazidi
Ulifika lini bk wewe uijui vizurNiliwai kufika bukoba pia moshi nisawa na kulinganisha manzese na posta moshi pazuri licha ya Uzuri wake pia ni moja mji msafi sana bukoba pachafu baathi ya sehemu lami hamna kiukweli bado sana izo picha zimepigwa kwajuu tu ila chini hatari
Kwaka jana mwezi wa nneUlifika lini bk wewe uijui vizur
Mkuu nimekaa Bukoba, sijawahi kuona jamii za kibaguzi kama Kagera. Usifananishe hayo makabila ya Kaskazini na Kabila la Kagera. Kuna ubaguzi mkubwa kama kuuza bidhaa kulingana na lafudhi ama kuongea kilugha mpaka stendi ya mkoani? Vipi kuhusu kusengenya wengine kilugha hata mnapokuwa wawili tu wa kabila hilo? Walahu Wachagga,Wamasai na Wameru wanaheshimu watu wengine wasio wa kabila lao na kuzungumza Kiswahili, labda itokee hawajui kiswahili.Kuna amani Hanna matukio ya uhalifu pia watu wa kule wakarimu sana sio wabaguzi kama unavyoonagaga jamii za wamasai, wameru na wachaga kdg kule arusha