Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
Kumbu kumbu ya vita vya kagera mahandaki yaliyotumiwa Mnara Wa ukumbusho kanisa lililolipuliwa na IDD amin imebaki kivutio daraja la MTO kagera sanamu ya mayunga uwanja Wa vita daraja la MTO kagera daraja la NNE tz
 
Hahahahaa mnatia huruma mpaka filling station unaileta, sasa pub nikiamua kuziweka JF it collapsed in short vyote ulivyoweka hapo kawatambie Sengerema sio Moshi
Bukoba hotel mbali mbali na pubs bijampola hotel hotel nyingine katika mji Wa bandari kemondo bukoba cheki
 
Upo vibaya sana kama kweli umetafuta cha kupost ndio ukaona ulete hiki basi unahitaji kuhurumiwa, hizi peleka bukombe ndio angalau mtaelewana.
 
Upo vibaya sana kama kweli umetafuta cha kupost ndio ukaona ulete hiki basi unahitaji kuhurumiwa, hizi peleka bukombe ndio angalau mtaelewana.
Mimi si bukoba wala moshi lakini kwake niliyoyaona na kuyaskia moshi no zaidi ya matusi kwake bukoba kiukweli wamewaacha mbali Sana
 
Bukoba imeiacha mbali Moshi kwenye kipi kuwa specifically kwamba kwa namna nilivyokaa au kutembea Bukoba na Moshi, Moshi au Bukoba imeiacha mbali mwenzake katika abcd hapo unaonekana unachoongea kina mantiki
Mimi si bukoba wala moshi lakini kwake niliyoyaona na kuyaskia moshi no zaidi ya matusi kwake bukoba kiukweli wamewaacha mbali Sana
 
Moshi imejengwa ila ni mji mdogo sana.Bk imepanuka kuliko Moshi.Hivyo hampaswi kudharauliana maana kila upande unazidi mwingine.Moshi ilipaswa kuwa juu hasa kwa utalii,but Arusha ilijengeka kwa adv ya moshi.Nawapongeza Haya kwa speed yao japo bado hawajafika.
 
Washauri watafute wa KULINGANISHA nao lakini sio Moshi
 
Bukoba imeiacha mbali Moshi kwenye kipi kuwa specifically kwamba kwa namna nilivyokaa au kutembea Bukoba na Moshi, Moshi au Bukoba imeiacha mbali mwenzake katika abcd hapo unaonekana unachoongea kina mantiki
Daraja la mto kagera kiwanda cha sukari pubs na casino za chinichini daraja la mto kagera kaitaba stadium
 
Bukoba imeiacha mbali Moshi kwenye kipi kuwa specifically kwamba kwa namna nilivyokaa au kutembea Bukoba na Moshi, Moshi au Bukoba imeiacha mbali mwenzake katika abcd hapo unaonekana unachoongea kina mantiki
Migheto ya nguvu bukoba
 
Bukoba imeiacha mbali Moshi kwenye kipi kuwa specifically kwamba kwa namna nilivyokaa au kutembea Bukoba na Moshi, Moshi au Bukoba imeiacha mbali mwenzake katika abcd hapo unaonekana unachoongea kina mantiki
Bukoba airport
.jpg[/IMG]
 
Kilimanjaro ingekua iko juu wasingekimbilia Dsm na mikoani wengi wao wamekimbia mji
Kubalini tuu mshapigwa 3 bilaaa kwani dar hakuna wahaya?? watu wanatoka nje ya mkoa kutafuta alafu maendeleo yanarudi home huwezi fananisha moshi na bukoba amabayo hata lami ni tatizo we leo fika moshi nenda kibosho lami tupu uru lami tupu huko machame lami tupu mwika marangu lami tuu majengo yanashushwaje huko hahaha dar tumekuja kutafuta moshi kilimanjaro home sweet home...
ndio maana mnaambiwa kabla hujaropoka hapa nenda kwanza moshi sio unaletewa hata picha unaanza lia lia ooh za nai lol mbona za australia tunaeza leta na usikatae??
 
Kilimanjaro ingekua iko juu wasingekimbilia Dsm na mikoani wengi wao wamekimbia mji
We n mmoja kat ya 4 kata ya bukoba wenyeji tu ndo wako huko au??

Uache kulinganisha jj la mosh na vitu vya kijinga
 
Hizo pictures 90% sio bukoba hapo zipo za Arusha hiyo New Arusha hotel lini imehamishiwa bukoba na mBasha building lini limehamia bukoba??? Hahahahaa pole lakini ndio hivyo aliekuacha kakuacha tu.
Hotel za ajabu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…