chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,297
- 45,087
Me niliwaambia bukoba wakapambane na singida wakajifanya wabishi haya sasa picha za moshi zinawekwa wanalalamika eti ni Nairobi... hahahah...!
Ukiwa chizi alafu unatembea uchi, tukikumbiza kuvaa nguo ukawa unakataa akuna budi kukulazimisha. Mmekimbia vijijini kwenu mmejazana apa Dar es salaam full ujambaziNi kweli lazima zikuchanganye kama hukutarajia moshi ingekuwa hivyo ila ukweli ndio huo na hizo pictures ni chache sana kama unavyojua majumba huku yamejificha migombani ni vigumu kupata pictures nyingi sababu nyumba zimeachana sana na moshi vijijini ni kubwa mno.
Na hapo sijaigusa kabisa Rombo, Mwanga, Same, Usangi ni balaa
Ukiwa chizi alafu unatembea uchi, tukikumbiza kuvaa nguo ukawa unakataa akuna budi kukulazimisha. Mmekimbia vijijini kwenu mmejazana apa Dar es salaam full ujambazi
Ukiwa chizi alafu unatembea uchi, tukikumbiza kuvaa nguo ukawa unakataa akuna budi kukulazimisha. Mmekimbia vijijini kwenu mmejazana apa Dar es salaam full ujambazi
Si ulete sasa maneno mengi ya nini? Wahaya bana nimewadharau sana. Mnapenda kushindana hata kwa mambo ambayo si levo yenu.Uwanja haupo moshi upi hai mpakani na arusha na sie tukileta za kagera nzima mtalia
Uwanja haupo moshi upi hai mpakani na arusha na sie tukileta za kagera nzima mtalia
Si ulete sasa maneno mengi ya nini? Wahaya bana nimewadharau sana. Mnapenda kushindana hata kwa mambo ambayo si levo yenu.
Hawa jamaa wanachekesha kweli wameniambia nimeweka picha za Nairobi na arusha. Hamna jipya subiri kombora lingine lazima mkae chini
Hahaha naona mkuu Wa Moshi wameshakupiga tatu bila. Kubali tu matokeoVitu vingi ni vya uongo picha za kilimanjaro ni za uongo. Anachanganya na picha arusha na Nairobi. Moshi pa kawaida sana tofauti na wanavyojisifia
Hahaha naona mkuu Wa Moshi wameshakupiga tatu bila. Kubali tu matokeo
Labda Marangu mtoni.Bukoba saizi yake ni wapi sasa naona Moshi ni level yajuu sana
Hahahaha...bora mmemfundisha adabu. Bukoba mavumbini haiwezi kufanana na Moshi kwa miaka hiiTena huyo ndio alikua kinara wa kidai pictures za Moshi, amepewa anazikataa Kumbe ana zake mfukoni tusizozijua