chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,661
- 45,877
Asanta sana, huyu jamaa anayefananisha Moshi na Bukoba ni kichaa...
Ni sawa na New York (moshi) na Dar (bukoba)
Dormant kweli ndo maana mlima umeibwa siku hizi ni wa Kenya.moshi mnatuaibisha mno hamuutangazi vizr mlima huo.mnazidiwa na wanabukoba wanausifia mji wao na kuutangaza vyema mji hata kama wanapenda sifa mno.
Mkuu tusiandikie mate na wino upo. Weka picha ambayo unasema ni ya Nairobi au Arusha halafu nitakwambia ni wapi. Kulalamika haitasaidiaVitu vingi ni vya uongo picha za kilimanjaro ni za uongo. Anachanganya na picha arusha na Nairobi. Moshi pa kawaida sana tofauti na wanavyojisifia
Vitu vingi ni vya uongo picha za kilimanjaro ni za uongo. Anachanganya na picha arusha na Nairobi. Moshi pa kawaida sana tofauti na wanavyojisifia
Ni kweli umesema bukoba bado sana Kwa moshiMpambano bado unaendelea. Labda tu mi niwaambie kitu binafsi Bukoba nimeishi tena kashai kwa hiyo maeneo Mengi nayafahamu kama hamgembe,Nyakanyasi,lwamishenye,kahololo, lugambwa ,ihungo,ibwela.mitaa ya Ghana kule lakini kwa Moshi Bukoba bado sana tuwe tu wakweli kwa hilo tena moshi nimefika na nimeenda mpaka uru kishumundu bush huko.kwa hiyo ukweli ubaki kuwa ukweli tu
Kuna boya anasema hizi picha ni za Nairobi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Machame hospital
Kuna boya anasema hizi picha ni za Nairobi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]