KILIMANJARO MOUNTAIN
Round about ya KCMC, KILIMANJARO N/PARK NA ARUSHA
Katikati ya manispaa
Jango la stend kuu ya mikoani,
Bado sehem kibao sijaziweka hapa.
Wewe picha ya pili, mbona ya Iringa? Naona hotel ya Kaundama upande wa kushoto, na jengo la Assas upande wa kulia. Weka picha za Moshi nyingo ili tuweze kuuchambua vizuri.
KILIMANJARO MOUNTAIN
Round about ya KCMC, KILIMANJARO N/PARK NA ARUSHA
Katikati ya manispaa
Jango la stend kuu ya mikoani,
Bado sehem kibao sijaziweka hapa.