Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.
ukitaka kulinganisha anzia vijijini, moshi barabara zote za kwenda vijijin ni lami tupu, na vijijin nyumba za kuishi ni nzuri kuliko makao makuu ya mji wa bukoba wakati bukoba wahaya wananunua voxy kama gari ya kutembelea vijijin rombo ndo gari ya abiria toka mwaka 2013
 
Ulishafika vijiji vya bk
 
Hotel nyingine hizo bukoba kyanyi resort kiroyera coffee hotel Stella hotel transit hotel yassira
 
Bk tena
uwanja Wa kaitaba una historia ndefu ukifatiwa na kifo cha mchezaji Ismail na waanga Wa tetemeko
 
hizo barabara za bukoba ni rangi yake au ni camera ya kifaa chako imeshinda kuchukua vizuri, sasa kama barabara mjin ziko hivyo ninashaka vijijin hakuna kabisa barabara
 
Naomba picha ya magari ya kuelekea huko vijijin then tukupe picha za noah za kuelekea Rombo, marangu machame na sanya tena plate no znaanzia D
 
Wanajidai au ni kweli tena wanasomea kwenye vyuo vyenu na kuwabwaga.unafikiri vinawasaidia basi.shida mna opportunity nyingi na hamzitumii vyuo vyote hivyo vingekuwa bk sijui pangefananaje.shida ubaguzi Wa wahaya na wivu ndio maana inakuwa hivyo
wachaga wamepiga kitabu wanatumia fursa
pia wachaga wana umoja ndii maana wameendelea
nyie mnapigana majungu
 
Mwaka kesho ndio mwisho wa kumalozia nyumba zote ambazo siyo imara moshi upepo uliyopita bukuba nisawa na unao pita moshi sema nyumba za moshi ni imarazaidi
 
hizo barabara za bukoba ni rangi yake au ni camera ya kifaa chako imeshinda kuchukua vizuri, sasa kama barabara mjin ziko hivyo ninashaka vijijin hakuna kabisa barabara
Ni za rami ila udongo uko hivyo
 
Mwaka kesho ndio mwisho wa kumalozia nyumba zote ambazo siyo imara moshi upepo uliyopita bukuba nisawa na unao pita moshi sema nyumba za moshi ni imarazaidi
Imaraaa kwa macho subiri tetemeko lije liwaumbue
 
Hotel nyingine hizo bukoba kyanyi resort kiroyera coffee hotel Stella hotel transit hotel yassira
Mkuu mmi natoka bkb naninatembelea Mara kwa Mara bkb na moshi.Tuweke ushabiki pembeni,aisee moshi wapo mbali mno tena kwenye mahotel usiguse kabisa
 
ww kwwli haunazo yaani hivyo vigorofa vyenye UFA ndio tupate homa?
bukob itachukua miaka 100 kufanana na moshi
Tetemeko limetokea nyumba hazijaporoka zote bado mji upo ni sehemu tu chachechache
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…