VanMacJastas
Member
- Apr 20, 2016
- 77
- 56
Waambie basi wasilete mabasi tu wajenge na kwao moshi, naona bk imewatoa knockoutyan hawa wahaya n majigambo tu hawana kingine
Kule kwao bkb hata mabasi yanayofanya safar n ya watu wa moshi kina prince muro,kidia,osaka
acha kufananisha mji na kijiji wewe. Moshi ni mji mkubwa zaidi na hapo ndo kiburi cha nshomile kilipoishia.hamna ujanja kwa hilo.Kumekuwepo na mabishano makubwa kuhusu mji Wa bukoba na moshi ni mji gani mkubwa kwa eneo,majengo,idadi ya watu,miundo mbinu,mzunguko Wa pesa,na importance ya mji na location changia kwa facts. Karibu
Weka na moshi tuone maneno tupu ya nnNIMEAMIN WW N MSHAMBA
HIVYO VIJENGO HAVIJAFKIA HATA 10% YA MOSHI
NYIE MMETUZD KWA MBWEMBWE TU
Oyo muwe makini hizi picha za moshi naona kama kenya hio
nipo sehemu isio na network huku rukwaWeka na moshi tuone maneno tupu ya nn
tumewaonea huruma tukawaletea nyie MNA ubavu wa kununua mabasi? sisi mabasi yetu kila kanda yapo nfanoWaambie basi wasilete mabasi tu wajenge na kwao moshi, naona bk imewatoa knockout
Mmetumiaje fursa ya vyuo kuendeleza mji??? Au ndo mnavitazama na mji unakondaMNAJIDAI MMESOMA KUMBE HAKUNA LOLOTE
BUKOBA HAKUNA CHUO KIKUU HATA KIMOJA ZAIDI YA MATAWI YA VYUO
HAHAHA MANENO YA MKOSAJIMmetumiaje fursa ya vyuo kuendeleza mji??? Au ndo mnavitazama na mji unakonda
Watu kibao wapo moshi ila weshindwanipo sehemu isio na network huku rukwa
kutikuweka picha haimaanish mosh hakuna majengo tena marefu sii ya gorofa moja kama ya hap bkb
Nioneshe jengo la Mengi hapo moshiHAHAHA MANENO YA MKOSAJI
TUNGEKUWA HATUJAVITUMIA VIZR TUNGEWAZD MAPto
TUNGEKUWA MJI WA KWANZA KWA USAFI
TUNGEKUWA MJI ULIOPANGILIWA VZR?
TUNGEKUWA MJI ULIOTOA MATAJIR WENGI ACHILIA MBAL WAFANYABIASHARA WAKUBWA KINA MENGI?
MENG N MTU WA KWANZA TZ KUANZISHA TV BINAFSI NA REDIO
NYIE MTAISHIA KULA SENENE TU NA UCHUM WENU MGANDO
Labda camera iliyopiga ina uwezo mkubwa maana ni majirani zaoOyo muwe makini hizi picha za moshi naona kama kenya hio
Tumeanza kurudi tangu mwaka juzi kaangaliye majengo binafsi yaliyojengwa tangu mwanzo mwa mwaka juzi na mwaka kesho pia kuna project kubwa sana binafsiSijawahi kufika BKB ila nimekutana na baadhi ya wana bkb, ninachoshauri Wachaga Tusilewe sifa maana hatuna historia ya kuwa na sifa,Ila tujitahidi kuzidi kuijenga Moshi as well as Maeneo mengine yanayoizunguka,kuzitumia fursa ipasavyo maana asili yetu ni kushindana kimaendeleo,laa sivyo tutaachwa na baadhi ya Manispaa
Teh teh teh..... Kufananisha Moshi na Bukoba ni sawa na kufananisha Leicester na Madrid. Moshi ipo juu pamoja na hujuma kibao za CCM.Bukoba linganishen na singida....moshi ni habari nyingine...!View attachment 451347View attachment 451348View attachment 451349View attachment 451350View attachment 451351View attachment 451352View attachment 451353View attachment 451354View attachment 451355View attachment 451356
Tanica ipo wapi,chai yetu,bunena,nk au si bkkyaka IPO bukoba? acha uongo
viwanda vyenu vyote ulivotaja hapo vya juice,maji n sawa na kiwanda chetu cha cocacola pale moshi
achilia mbali mlima KLM,uwanja wa ndege wa kimataifa wa kia nk