kageravn mkoa wa 3 kwa umaskini sasa mnajifananisha na KLM?
acha kufananisha moshi n.a. sehemu za ajabu ajabu
Moshi imepangika vizuri kimji lakini kwa marefu , mapana na mandhari nzuri haioni kitu kwa Bkb. Custom, Buyekera mjini kati, Kashai ,Hamghembe, Rwishenye ,Nshambya, Ihungo, Kahororo ,Kibeta, Kashule, mandhari ya ziwa Bkb ni mwisho wa maneno!!
Ta Kamugisha unaitwa huku!!
Uko sawaBukoba kuna tanica ya kahawa nadhani kila MTU anakifahamuchenyewe hiki hapa
Pole mkuu, anyway ngoja niwaachie ligi yenu Bukoba vs Moshi. Nilikuuliza Nkindo kuna nini ndio ukaquote hapo ukasema hayo.Kumbe hauifahamu bk sijasema IPO nkindo Bali kashura barabara ya maruku mkabala na walkguard zote zipo milimani km kama NNE kutoka mjini
Punguza viroba bukoba sio mkoaBukobaa mkoa au kitukoo??