Bukoba vs Moshi

Status
Not open for further replies.

Hilo la wapagazi kuwa wengi kutokea Arusha unadanganya. Kuna utaratibu wameweka wengi ni wa Kili tena huko vjjn.

Kuhusu hoteli za Msh kweli zimedoda flani. Sisi wa chugga ndo tunaendaga kupigia mikasi huko. Wa Msh hawana jeuri kuja kula bata chugga. Ni shidaaaaa
 
Machame na marangu sio mji wa Moshi
 
Ikiwa hawauzi walizonunua huko kwingine ndo wauze za Moshi? Utasubiri sana. Hata uwatukane hadi mwisho ila mijamaa haitabadilika asee
 
Et editing fika bk wewe ujionee
 
Kwa vigezo vyako utakuwa unashinganisha makabila na si mji au manispaa.

Sidhani kama kuna manispaa inalima kahawa kama ulivyotaja
Mkuu nimetaja vigezo vingi. Wakiamua kufuata hiyo njia wataamua vigezo mahsusi.

Hata hivyo, kuna kiwanda cha kubangua au kukaanga kahawa moshi mjn. MCCCL. Pia kuna coffee shops na pia mnada wa kahawa Tz nadhani upo moshi mjini.

Hayo yote ni kuhusu kahawa. Twende sasa....
 
Bukoba kuna tanica ya kahawa nadhani kila MTU anakifahamu chenyewe hiki hapa
 
Uko sahihi sana mkuu. Nadhani wewe siyo mchaga au kama ni mchaga basi umetembea miji mingi. Ulinganishaji wako umekaa sahihi sana tofauti na meku wengine ambao huwa wana exaggerate sana linapokuja suala la mji wa Moshi.
 
Wamepagawa hadi mwanza wakaita moshi
 
Uko sahihi sana mkuu. Nadhani wewe siyo mchaga au kama ni mchaga basi umetembea miji mingi. Ulinganishaji wako umekaa sahihi sana tofauti na meku wengine ambao huwa wana exaggerate sana linapokuja suala la mji wa Moshi.
Shida hana facts atupe sababu bk inaizidi mbali sana km za eneo zikiwa 90 na moshi 58 kwa nini tusilinganishe bk inaizidi moshi wewe kubali
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…