Mimi sipasikii, nimeishi hapo. Nadhani sifa za Kinshomile zinachangia pia. Hapako hivyo, usitudanganye kwa pichaUnafikiri wahaya hawajajenga vijijini ingekuwaje wote wangejenga bk, bk kuna wanyarwanda wengi na waganda,ndo maana IPO hivyo shida bk watu wanapasikia tu.
Hahaha mfanano wa Mbuzi na NgamiaIringa na Bukoba tena,au hujafika Iringa.
Na wewe weka za tabora na mbeyaMbona unaweka na picha za Iringa na Mwanza?
Karagwe na Missenyi zimeiacha BKHahaaa Bukobaaa hawa jamaa nawachekiii hata sijui nisemeje ila kwenye wilaya muleba wamejitahidi sana kujenga nyumna bora na nzuri .
Achana na mambo ya michoro, tuletee stand ya sasa ya BK (mkoa) kama inaifikia hata stand ya Same au Bomang'ombe.Mkuu inajengwa mpya sasa hivi mtaa Wa kyakairabwa km 10 kutoka mjini mchoro huu hapaujenzi tayari umeanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana na mambo ya michoro, tuletee stand ya sasa ya BK (mkoa) kama inaifikia hata stand ya Same au Bomang'ombe.
Umeona eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti anafananisha Iringa na Bukoba.Hahaha mfanano wa Mbuzi na Ngamia
Moshi kuna jengo moja tu la nssf, jaman!!! [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]vitu kama hivi bukoba hamna.....Hii ndo moshi.
MwanzaBasi itakuwa chumbani kwako
Basi itakuwa chumbani kwako
Acha kuchekesha ndugu, nimeishi pale. Hunidanganyi mjini wala vijijini. Nimeenda Muleba,Karagwe,Misenyi,Bukoba Rural na Urban kwenyewe. Nimekaa Kibeta,Rwamishenye,Ibura,Hamgembe,Kagondo....sehemu zingine nimefika tu kama Custom,Miembeni,Kyakailabwa nkFika mwenzangu nauli 60000elfu toka dar na. Mwz elfu 20000 na kwa ndege laki tatu