Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Pale Muleba nyumba nzuri ya kisasa yenye standard za maana ni ya Anna Tibaijuka tu. Nyinginezo labda majengo ya serikali ukiondoa Mahakamanyumba za hatari muleba vijijini ziko wapi?izigo au Katoke B?Vijiji vya muleba ni hoi bin taabani si kaboya kyamkwikwi kimbugu nk ni hoi.sema wahaya misifa tu ya ajabu
Nasikia bukoba kuna sehemu wamejaa wahindi na waarabuNimefika hapa takribani wiki moja iliyoisha yani mjii huu ni tofauti na nilivyouzania kutokana na majigambo ya ndg zetu wahaya, miundo mbinu na mji ulivyokaa basi taabu kweli kweli, natamani kilichonileta huku nimalize fasta nirudi zetu kwetu mwanza,,
Nimefika hapa takribani wiki moja iliyoisha yani mjii huu ni tofauti na nilivyouzania kutokana na majigambo ya ndg zetu wahaya, miundo mbinu na mji ulivyokaa basi taabu kweli kweli, natamani kilichonileta huku nimalize fasta nirudi zetu kwetu mwanza,,
Pale Muleba nyumba nzuri ya kisasa yenye standard za maana ni ya Anna Tibaijuka tu. Nyinginezo labda majengo ya serikali ukiondoa Mahakama
Mkuu hauko sawa kabisa lambda ulitegemea ni ni zaidi na haujapata?
Mheshimiwa habari yako.
Kama ungeweza tafsiri hayo maneno ingekuwa vizuri sana.
Hajaonjeshwa Katerero huyoTaratibu mkuu, kwani ulitegemea kuona au kupata nin?
Mimi pia nina wiki mbili hapa nimefikia hapa Coffee Tree Hotel karibu na Mkuu wa Mkoa
mimi nimefika bukoba mara nyingi. kwa standard za miji mingi ya tz bk wala siyo mbaya, vijijini kama kanyigo na muleba kuna nyumba za hatari ambazo hata zina weza compete na za miji mikubwa. acha majungu mitandaoni, speak facts. by the way kwenu wapi?
Nimefika hapa takribani wiki moja iliyoisha yani mjii huu ni tofauti na nilivyouzania kutokana na majigambo ya ndg zetu wahaya, miundo mbinu na mji ulivyokaa basi taabu kweli kweli, natamani kilichonileta huku nimalize fasta nirudi zetu kwetu mwanza,,
Nimefika hapa takribani wiki moja iliyoisha yani mjii huu ni tofauti na nilivyouzania kutokana na majigambo ya ndg zetu wahaya, miundo mbinu na mji ulivyokaa basi taabu kweli kweli, natamani kilichonileta huku nimalize fasta nirudi zetu kwetu mwanza,,
nyumba za hatari muleba vijijini ziko wapi?izigo au Katoke B?Vijiji vya muleba ni hoi bin taabani si kaboya kyamkwikwi kimbugu nk ni hoi.sema wahaya misifa tu ya ajabu
Mkuu hauko sawa kabisa lambda ulitegemea ni ni zaidi na haujapata?
kabla ya kwenda kule nadhani utakuwa ulitokea Tokyo-Japan vinginevyo una emotions na depressions
Lamda; watoka handeni?