RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,588
- 1,859
kwa wale wote 2liosoma bukoba sec,karb 2kumbushane mawil matatu, ya shule ye2 ni vzr ukaweka mwaka ulio maliza pale,karbun
acha ushambaye2=yetu
vzr=vizuri
2liosoma=tuliosoma
2kumbushane=tukumbushane..
elimu ya bongo imekosa plan b
USA =United States of Americaacha ushamba
hivyo n vionjo na shortcut za lugha yyote duniani
hata kiingereza unachokiabudu nacho kpo hjvyo ukienda USA au UK utaoma wanavyoongea
mfano
because_coz
you _u
uache ushamba
Aacha ujinga kwan ni wapi kaonyesha kuabudu kiingereza!acha ushamba
hivyo n vionjo na shortcut za lugha yyote duniani
hata kiingereza unachokiabudu nacho kpo hjvyo ukienda USA au UK utaoma wanavyoongea
mfano
because_coz
you _u
uache ushamba
hujaelewa wapiUSA =United States of America
UK =United Kingdom
Andika kwa usahihi mkuu, acha kubabaika na lugha