Bukoba: Mungu ashindwa kutokea Mahakamani kutoa ushahidi kwenye kesi inayomkabili Mchungaji Merchades Mugishagwe

Kwa maana hii ukiamini wewe umemzidi Jeff Bezos kwa helq na ni tajiri wa kaanza wa dunia leo, hilo litakuwa kweli.

Ukiamini kwamba ukipanda grorofani ghorofa ya 20 ukajirusha malaika wa Mungu watakudaka, utajirusa watakudaka tu.

Please tafuta mifano mingine. Hii ni irrelevant.
 
Please tafuta mifano mingine. Hii ni irrelevant.
Kwa nini ni irrelevant?

Kitu hakiwi irrelevant kwa sababu umesema tu ni irrelevant.

Inakubidi utoe sababu za kimantiki kuonesha kwa nini kitu ni irrelevant.
 
Back
Top Bottom