Kilimbatzx
Senior Member
- Jul 31, 2025
- 188
- 222
Umesahau na ukumbi wa Rio Di JaneiroWale jamaa kitu Cha uhakika kwao ni maji na umeme tu. Umeme wao unatokana na chanzo Cha maporomoko ya Owen Uganda,ni ngumu sana kusikia umeme umekatika bukoba. Wanakiwanda chao Cha maji ya bunena kile nacho wanaweza kujivunia maana mmiliki ni mzawa wa hapo BK mjini.
Aisee Una Akili nyingi SanaHahaha wahaya wajanja wako nje ya mkoa wa Kagera, waliobaki Bukoba ile ndio vilaza.
Kila mtu ana matatizo yake. Ila matatizo hasa ya akili yanakuwa makubwa sana kwa watu wanaoipenda na kuishabikia ccm hawa wanamatatizo makubwa sana kichwaniAtakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !!
Kwanza hawana stend!
Hawana soko!
Barababara kuu imekwama na pesa wamekula!
Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango
Britanicca
Umeamua kutusema na kutusimanga utukomee itwe tulio munoooJapo ni kweli hali ya BK inatisha na kusikitisha, ila Nyie ndugu zetu Wahaya mmebarikiwa sana!,kwanza kwa Tanzania,Wahaya ndio wenye the highest IQ wakifuatiwa na Chagga na Nyakyusa,ndio mnaongoza kwa usomi na wasomi wenye Ph.D!! Ndio mnaongoza kwa diaspora wenye decent jobs!kiingereza kingi, nshomile ing'ambo miaka ishatu!, mugambire inafu!.
Enzi hizo nikitua NY, naongoza Mt. Venon na kufikia pale kwa Mama T, (sijui bado yuko hai?atakuwa 100+!)
Wawawake wenu ndio mabingwa wanaoongoza kwa upishi wa kile chakula, wanapika balaa!na chakula chao ni kitamu balaa!Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? na wafanya biashara wa kwanza wa ile biashara,toka enzi za Maggots, hadi kule kwa wavura viratu na mugambire inafu!, proceed za hii
biashara very lucrative, Wahaya
wanaoeleka wapi? au
zinafanyia nini?!
Ndio mmemtoa MD wa kwanza Tanganyika, Dr Vedastus Kyaruzi, na Prof wa kwanza, Prof Rweyemamu (baba Kemi)
Ndio mnaongoza kwa mijengo Masaki, nini kinawazuia msiendeleze kwenu?!
JPM kawajengea uwanja Chato hamuutumii!, Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika! mpewe nini?!.
P
Mayala umenifurahisha sana, hebu tukutane break point weekend tugonge maji ya dhahabu!!!Si ni mambo yetu yale ya misosi, sisi Wasukuma tunapenda sana yale mambo ya kula kula misosi , Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
Vyakula vya Bukoba, ni vitamu sana!, ukibahatika kumpata mpishi bingwa, unaweza kujikuta unachanganyikiwa unaweza hata kutelekeza familia ukajikuta huna tena hamu na chakula cha nyumbani!, ukukitana na binti ametiwa kitu inaitwa shumtamaa!, ni kitu ya hatari kabisa! very dangerous!,limbwata itasubiri!,mtu unahama nyumbani!unaacha ghorofa unahamia kibanda umiza!,na ikitokea wewe ukawa ni mgonjwa wa haya makitu https://www.jamiiforums.com/threads...-why-only-some-and-why-so-much-fluid.265376/, tunakusahau kama nzi!,mpaka utafia kwenye kidonda!
P
Maigizo tu haya
Brake Point ipi?, Posta, Kino Makaburini, Makumbusho au pale Udasa?.Mayala umenifurahisha sana, hebu tukutane break point weekend tugonge maji ya dhahabu!!!
Makumbusho Mkuu!!Brake Point ipi?, Posta, Kino Makaburini, Makumbusho au pale Udasa?.
P
Poa mkuu tutapanga, menu yangu kuu BP ni nyama pori swala, chef wa hapo makumbusho haipatii kama yule wa Kino!Makumbusho Mkuu!!
Haha naona umewasemea home.Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !!
Kwanza hawana stend!
Hawana soko!
Barababara kuu imekwama na pesa wamekula!
Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango
Britanicca