Bukoba mtapokea utapeli wa CCM tena?

Wale jamaa kitu Cha uhakika kwao ni maji na umeme tu. Umeme wao unatokana na chanzo Cha maporomoko ya Owen Uganda,ni ngumu sana kusikia umeme umekatika bukoba. Wanakiwanda chao Cha maji ya bunena kile nacho wanaweza kujivunia maana mmiliki ni mzawa wa hapo BK mjini.
 
Wajenge nyumba zao kwanza ili tuone sababu ya kuwajengea soko na stendi
kama hua unapita barabara ya singida arusha...

kuna mji mdogo pale mkoa wa manyara(nimepasahau jina), wana stend nzuri sana na hakuna majengo mazuri ya wananchi...

kwahiyo hoja yako naipinga...

nionavyo, kuna namna bukoba inahujumiwa makisudi...
 
Nashindwa kuelewa ni kwanini wahaya na misifa yoote hii mijini lakini Bukoba pako very very backward.
In fact hata kamji ka wilaya kama Kahama kako better off by far kuliko Bukoba.
Wahaya mnakwama wapi?
Husda huenda imetamalaki huko !
a.k.a ULOZI 😳🤷🏿‍♂️ !
 
kama hua unapita barabara ya singida arusha...

kuna mji mdogo pale mkoa wa manyara(nimepasahau jina), wana stend nzuri sana na hakuna majengo mazuri ya wananchi...

kwahiyo hoja yako naipinga...

nionavyo, kuna namna bukoba inahujumiwa makisudi...
Unaipinga hoja yangu kwa kutumia takwimu ambayo umeisahau??
Nakunukuu

"kuna mji mdogo pale mkoa wa manyara(nimepasahau jina), wana stend nzuri sana na hakuna majengo mazuri ya wananchi."

Wewe ni mtu wa ajabu
 
Unaipinga hoja yangu kwa kutumia takwimu ambayo umeisahau??
Nakunukuu

"kuna mji mdogo pale mkoa wa manyara(nimepasahau jina), wana stend nzuri sana na hakuna majengo mazuri ya wananchi."

Wewe ni mtu wa ajabu
mimi kusahau jambo haithibitishi kwamba halipo...
 
Hawana intelligence yoyote,

Kinachowabeba ni kutokula ugali kama ninyi wasukuma.

Ugali hauleti faida kwenye ubongo, ndizi, ngano ndo vyakula sahihi.

Kanda ya Ziwa bila samaki kusaidia ubongo, wangekuwa wajinga wa mwisho.

Kataeni ugali.
 
Mkuu P hapa kwenye mlo umeniacha kidogo, ni mlo gani unamaanisha?
Si ni mambo yetu yale ya misosi, sisi Wasukuma tunapenda sana yale mambo ya kula kula misosi , Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi?
Vyakula vya Bukoba, ni vitamu sana!, ukibahatika kumpata mpishi bingwa, unaweza kujikuta unachanganyikiwa unaweza hata kutelekeza familia ukajikuta huna tena hamu na chakula cha nyumbani!, ukukitana na binti ametiwa kitu inaitwa shumtamaa!, ni kitu ya hatari kabisa! very dangerous!,limbwata itasubiri!,mtu unahama nyumbani!unaacha ghorofa unahamia kibanda umiza!,na ikitokea wewe ukawa ni mgonjwa wa haya makitu https://www.jamiiforums.com/threads...-why-only-some-and-why-so-much-fluid.265376/, tunakusahau kama nzi!,mpaka utafia kwenye kidonda!
P
 
Atakuwa Mpuuzi sana ambaye anadhani uchaguzi feki Huu Una maana kwao !!

Kwanza hawana stend!
Hawana soko!
Barababara kuu imekwama na pesa wamekula!
Mbaya zaidi ni mkoa hauna hospital ya viwango


Britanicca
 

Attachments

  • 20250512_172008.jpg
    45.1 KB · Views: 25
Muhaya alipokuwa kwenye mataa ya KAMATA na Muhaya mwenzake walimuona askari traffic MUHAYA, anaongoza magari manually kwa sababu ya foleni.Mambo yakawa kama yafuatavyo 🤣🤣🤣

"Iwe mwana ashomile, ashomile mpaka form six, ashomile mpaka university but no course 😅😅😅 agamba genda agamba stop "🤣🤣🤣🤣

"Unihambire stupid Infront my wife, I'm going to revenge 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…