Wakati shule nyingi hazina maabara,hazina library,hazina madawati,hazina walimu,hazina madarasa ya kutosha,shule hazina umeme.bukoba vyote hivyo vipo na zaidi kuna wireless internet,akina kokubanza wanatumia iPad kwenda mbele.wakati hicho mnachoita chuo bora UDSM mwanafunzi wa masters hawana hata laptop.mimi nawashauri wale akina kokubanza wakimaliza form six moja kwa moja waende HAVARD.kuja udsm kujichanganya na hawa wenzangu na mimi ambao wametokea shule za kidumu cha maji na ufagio wa chelewa ni ujinga
Ama kweli viroba noma! Jamaa kaamka na faida hajui hata asemalo. Bkb barabara zenyewe shida, bank kuna crdb na nmb tu ukichanganya na postal bank, wafungwa wa kitengule na rwamulumba hawana hata uniform na wanakula mlo mmoja kwa siku, hospital ya mkoa haina madaktari wa kutosha wewe unakuja na vichekesho vya ipad. Wewe ni zaidi ya ZUZU unaelekea kwenye UMBURULA. Kwaheli!!!
Uandikaji wako wa Kiswahili unahitaji kuimarishwa ili watu tusome michango yako wa raha! Kwa mfano baada ya alama za mkato na nukta unaacha nafasi, baada ya nukta unaanza na herufi kubwa, n.k.Wakati shule nyingi hazina maabara,hazina library,hazina madawati,hazina walimu,hazina madarasa ya kutosha,shule hazina umeme.bukoba vyote hivyo vipo na zaidi kuna wireless internet,akina kokubanza wanatumia iPad kwenda mbele.wakati hicho mnachoita chuo bora UDSM mwanafunzi wa masters hawana hata laptop.mimi nawashauri wale akina kokubanza wakimaliza form six moja kwa moja waende HAVARD.kuja udsm kujichanganya na hawa wenzangu na mimi ambao wametokea shule za kidumu cha maji na ufagio wa chelewa ni ujinga