Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,153
- 166,095
Sumba acha kupotosha umma na kuwaonyesha hadhira kuwa sina sifa za kuwa mume.Im going to be mume bora kuliko yoyote unayemjua, ntakuwa role model wa mababa wengi.Du....Bado najiuliza ni bujibuji tunaemfahamu au bujibuji mwingine
Senkyu sistahHongera kama kweli, mi nilijua umeishaoa kumbe ilikuwa bado?kila la kheli
Naharibu jamvi kwa kipi? Au kwa kuonyesha mfano bora kwa kuoa?Na wewe unaharibu Jamvi siamini....................
Wana jamvi wenzangu, invisible friends, natangaza ndoa.
Nimefika kikomo sasa nataka nifunge pingu za maisha.
Wachumba wangu wa JF tuliofanya matusi na wale tulio ishia kwenye cyber sex naomba muelewe kuwa hamna marefu yasiyo na ncha na mimi sasa nimefikia tamati ya njunji za holela, na sasa njunji rasmi na mtu rasmi.
Harusi yangu nataka niifanye mwezi wa kumi, it will be open to everyone, kwani sitaki mambo ya michango (but zawadi zinaruhusiwa).
Tutaendelea kufahamishana mengi kupitia jamvi letu adhimu la Jamii Forum.
Wenu mtiifu niliyechoka na unungayembe.
Bujibuji wa kibuyu cha Mbujimayi

Mke wangu mpenzi, nimemtoa kijijini.
Nimemuoa akiwa na bikira yake, hapo mwaka juzi mwishoni.
Mwaka huu Mungu akatusaidia, akabeba ujauzito.
usiku wa kuamkia leo kajifungua katoto kazuri ka kike.
Nilipoenda kumsalimia, nikapokelewa na manesi wenye hasira, wamenitukana sana na kunidhalilisha eti mi nimemuharibu mke wangu kwa kumwendea kinyume na maumbile.
Kwa kweli sijawahi kumfanya hivyo hata mara moja, na wala sina tabia hiyo.
Je nimfanye nini huyu mama watoto wangu?
nafikiri ndiyo ninayoistahiliUmeamua kuingia kwenye jela ya malavi davi
Wana jamvi wenzangu, invisible friends, natangaza ndoa.
Nimefika kikomo sasa nataka nifunge pingu za maisha.
Wachumba wangu wa JF tuliofanya matusi na wale tulio ishia kwenye cyber sex naomba muelewe kuwa hamna marefu yasiyo na ncha na mimi sasa nimefikia tamati ya njunji za holela, na sasa njunji rasmi na mtu rasmi.
Harusi yangu nataka niifanye mwezi wa kumi, it will be open to everyone, kwani sitaki mambo ya michango (but zawadi zinaruhusiwa).
Tutaendelea kufahamishana mengi kupitia jamvi letu adhimu la Jamii Forum.
Wenu mtiifu niliyechoka na unungayembe.
Bujibuji wa kibuyu cha Mbujimayi
Hongera kama kweli, mi nilijua umeishaoa kumbe ilikuwa bado?
kila la kheli
Na wewe unaharibu Jamvi siamini....................
asante kwa taarifa, kumbe mshikaji ni bwabwa kama bofloSiku zote nilikuwa najua bujubuji ni mwanaume.... Kumbe nungayembe... khaaa! kweli JF ni zaidi ya niijuayo.... (Nungayembe ni mwanamke asiyeolewa, kwa mujibu wa waanzilishi wa hili jina)
nafikiri ndiyo ninayoistahili
Leo hii
Sijui ni nani huyu naomba jibu Bujibuji