Bujibuji acharangwa mapanga Ipinda Pub Mtwara

Bujibuji acharangwa mapanga Ipinda Pub Mtwara

Mkuu Bujibuji pole sana.

Ila lile dude tam jamani!acha watu wakatane mapanga!
 
Last edited by a moderator:
Pole bujibuji.

kitimoto ni haramu, usiile nyama yake wala usiguse mzoga wake.

Taarifa zikizonifikia hivi
punde ni kwamba mwana JF mwenzetu
#Bujibuji
amejiruhiwa kwa mapanga akiwa na wafantakazi wenzake kwenye Baa iuzayo
kitimoto ya Ipinda.
Taarifa nilizoletewa na mfanyakazi mwenzangu wa Bandari Mtwara, ambaye
pia ni MTU wa karibu Sana wa bujibuji Martin Mwesiga, zinaeleza kwamba
bujibuji alipatwa na mkasa huo baada ya kutokea kutoelewana na muuza
kitimoto.
Martin amedai kuwa bujibuji alipelekwa polisi na hospitali.
Muuza kitimoto amekimbia na anaendelea kusakwa na polisi.
Mmiliki wa baa hiyo ndiye akiyempeleka bujibuji hospitali kwa gari lake.
Tumuombee mwenzetu apone haraka.
 
Ndo maana mm popote pale lazima niwe na chuma mambo yenyewe ndo kama haya mbona asingetoka mtu hapo bar.
 
pole,uwe makini hi dunia imeshabadilika,unaweza ukatolewa roho hata kwa 200.
 
fanya uweke selfie Bujibuji mi sijaamini so far.. by the way pole m'baba
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom