Bujibuji acharangwa mapanga Ipinda Pub Mtwara

Bujibuji acharangwa mapanga Ipinda Pub Mtwara

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,850
Reaction score
9,422
Taarifa zikizonifikia hivi punde ni kwamba mwana JF mwenzetu #Bujibuji amejiruhiwa kwa mapanga akiwa na wafantakazi wenzake kwenye Baa iuzayo kitimoto ya Ipinda.

Taarifa nilizoletewa na mfanyakazi mwenzangu wa Bandari Mtwara, ambaye pia ni MTU wa karibu Sana wa bujibuji Martin Mwesiga, zinaeleza kwamba bujibuji alipatwa na mkasa huo baada ya kutokea kutoelewana na muuza kitimoto.

Martin amedai kuwa bujibuji alipelekwa polisi na hospitali.

Muuza kitimoto amekimbia na anaendelea kusakwa na polisi.

Mmiliki wa baa hiyo ndiye akiyempeleka bujibuji hospitali kwa gari lake.

Tumuombee mwenzetu apone haraka.
 
Duh! Get well Bujibuji... Dunia hii imekuwa na wakatili kila kona. For a small issue ambayo watu wanaweza kuzungumza na kusameheana, tumekuwa na haraka ya kujichukulia hatua mikononi...
 
nguruwe na pombe ni haramu. Ki ufupi bar ni nyumba ya shetani
 
Duh! Get well Bujibuji... Dunia hii imekuwa na wakatili kila kona. For a small issue ambayo watu wanaweza kuzungumza na kusameheana, tumekuwa na haraka ya kujichukulia hatua mikononi...

hakika...uovu umezidi
 
Pole bujibuji utapona na kurejea kitaani kama ilivyozoeleka
 
so source ni kitimoto lakini hii kitu ni najisi mambo ya walawi 11;1-

me dini yangu hainizuii,,,,,,,,,,ninyi endeleeni kukatazwa na hizo dini zenu mlizoletewa na wakoloni.
 
Bujibuji acharangwe mapanga kwani ni mtundu kumpita Baloteli??? Haiwezekani!!! Kaka Bujibuji ebu jitokeze huko uliko ukanushe tafadhali.
 
Bujibuji acharangwe mapanga kwani ni mtundu kumpita Baloteli??? Haiwezekani!!! Kaka Bujibuji ebu jitokeze huko uliko ukanushe tafadhali.

Ni kweli mkuu. Nmeongea na Bujibuji muda sio mrefu. Kapigwa na kujeruhiwa kwa panga Kichwani na mkoni. Nilipoongea naye alikua Hospital japo kasema anaendelea Vizuri. Kashapata Huduma tayari so anasubiria kuona kama ataruhusiwa kuondoka. Pole sana Bujibuji. Mia
 
Back
Top Bottom