Bujibuji acharangwa mapanga Ipinda Pub Mtwara

Bujibuji acharangwa mapanga Ipinda Pub Mtwara

nipo nipo mdogomdogo dear mama! mishe za madesa zinazingua ujue!

em nipe light light za humu.. mzima ww?

mi mzima nifate pm

hapa ni kwamba ndugu yetu @Bujibiuji kachrangwa mapanga
na pia kuna mtu kalawitiwa siku mbili hizi alifumwwa na mke wamtu
na kingine wewe lini utaachana na desa hizo looh pole
 
Tena wote Ni wachagga. Wanateki advantage kwa vile yule mdudu Ni mtamu sana na kwa Ntwara unaweza kukuta lile gaidi linaitwa THE BIG SHOW ndio limefadhili huu unyama.

GWS malafyale Bujibuji, Kyala jo mpoki
Huyu mdudu hana kabila ila kwa upande wa dini hapo sawa.
 
POLE SANA MKUU KUMBE Bujibuji nkamu amekung'utwa hivyo sikujua amelazwa hospitali gani niende huko
 
Last edited by a moderator:
bujibuji pole mama ninakuombea utapona pia huyo muuza kiti moto msamehe kitimoto kimeshamharibu ubongo.
 
Ama kwa hakika mambo yanabadilika! Wakati ule miaka ya themanini mimi nikiwa yank sikuwahi kusikia au kuona bucha la nguruwe mjini Mtwara yaani ni kitu ambacho ilikuwa haiwezekani kabisa. Sasa naambiwa Pub kuna Kitimoto daaah Mtwara kweli ina muingiliano wa tamaduni siku hizi.

Nakumbuka wakat ule ukivuka kona ya njia Newala hukuti nyumba hadi kanisa la pale Magomeni. Kutoka hapo unafika kijiji cha Ufukon hadi Mikindani umbali wa kilometa zaid ya kumi. Leo hii Mji umeungana. Haya bhana, kitimoto Mtwara!!!??? Mmmhh!
 
Taarifa zikizonifikia hivi punde ni kwamba mwana JF mwenzetu #Bujibuji amejiruhiwa kwa mapanga akiwa na wafantakazi wenzake kwenye Baa iuzayo kitimoto ya Ipinda.

Taarifa nilizoletewa na mfanyakazi mwenzangu wa Bandari Mtwara, ambaye pia ni MTU wa karibu Sana wa bujibuji Martin Mwesiga, zinaeleza kwamba bujibuji alipatwa na mkasa huo baada ya kutokea kutoelewana na muuza kitimoto.

Martin amedai kuwa bujibuji alipelekwa polisi na hospitali.

Muuza kitimoto amekimbia na anaendelea kusakwa na polisi.

Mmiliki wa baa hiyo ndiye akiyempeleka bujibuji hospitali kwa gari lake.

Tumuombee mwenzetu apone haraka.
we idhini ya kuweka uzi huu umepata kwa nani....!!!???
 
Back
Top Bottom