miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
baaasi haya umeshinda tuma salamu kwa watu watatunguruwe na pombe ni haramu. Ki ufupi bar ni nyumba ya shetani
Hiyo Bar ipo maeneo ya mji gani? sijaelewa Mkuu.
Duh! Get well Bujibuji... Dunia hii imekuwa na wakatili kila kona. For a small issue ambayo watu wanaweza kuzungumza na kusameheana, tumekuwa na haraka ya kujichukulia hatua mikononi...
je hiyo rost na ndiz alikuwa ameshakula? kama ilikuwa bado ni bonge la loss
je hiyo rost na ndiz alikuwa ameshakula? kama ilikuwa bado ni bonge la loss
je hiyo rost na ndiz alikuwa ameshakula? kama ilikuwa bado ni bonge la loss
Bujibuji anauza kitimoto?????
hawa wauza kiti moto ndiyo zao lazima mgawane nusu kwa nusu ......wanapiga hela balaaa! Pole mkuu and get well soonPole zake Bujibuji inawezekana huyo muuza kiti moto alipima nusu akidai ni kilo jamaa akashtuka!
Bujibuji toa taarifa rasmi ya tukio hili