Bujibuji acharangwa mapanga Ipinda Pub Mtwara

Bujibuji acharangwa mapanga Ipinda Pub Mtwara

Bujibuji kwani Berreta 9mm ni shilling ngapi mpaka mtu na silaha za jadi akusumbuwe? sikupi pole ukirudi nione nikusaidie kuchaguwa pistol dukani.
 
Last edited by a moderator:
hawa wauza kiti moto ndiyo zao lazima mgawane nusu kwa nusu ......wanapiga hela balaaa! Pole mkuu and get well soon

Tena wote Ni wachagga. Wanateki advantage kwa vile yule mdudu Ni mtamu sana na kwa Ntwara unaweza kukuta lile gaidi linaitwa THE BIG SHOW ndio limefadhili huu unyama.

GWS malafyale Bujibuji, Kyala jo mpoki
 
alikua yuko tungi.?? Pombe noma...
 
Tunakuombea upone haraka Bujibuji Pole sana.
 
Last edited by a moderator:
...pole sana mkuu!

"TETESI..... hivyo
kuchukua uamuzi wa kutaka
kumuua! "
 
Back
Top Bottom