Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

binadamu tunaishi kwa kutegemeana, mfano mm nilikuwa mwanafunzi wa chuo fulani hivi pale dar gharama ya kuwa girlfriend kwa chuo ni kubwa sana maana lazima umlishe, umvalishe pamoja na outing sasa kama huna huo uwezo kazima uende kimboka....binafsi nilikuwa nikienda pale nagonga kama wanne hivi ambapo natumia elfu kumi tu kwa ladha tofauti thereafer nakaa tena hata miezi mitatu...hata 0713 nilijifunzia pale
 
Sio kila kitu mpaka tutegemee serikali ama taasisi fulani ndio ifanye

Tuanze sisi wenyewe tujipange na kutafuta namna ya kukabiliana na hii hali

Hali inatisha na jamii ndio inazidi kuangamia
Kuna mwananchi gani ambaye yupo tayar kutoa bila manufaa, labda wenzetu ila sio wabongo! Mwambie achangie yatima elfu 10 tu atabamba! Ila mchango wa harusi couple laki moja atalipa bila hiyana maana anajua atakunywa bia!
 
Kwahio mkuu pepo hutoina kihalali kabisa
binadamu tunaishi kwa kutegemeana, mfano mm nilikuwa mwanafunzi wa chuo fulani hivi pale dar gharama ya kuwa girlfriend kwa chuo ni kubwa sana maana lazima umlishe, umvalishe pamoja na outing sasa kama huna huo uwezo kazima uende kimboka....binafsi nilikuwa nikienda pale nagonga kama wanne hivi ambapo natumia elfu kumi tu kwa ladha tofauti thereafer nakaa tena hata miezi mitatu...hata 0713 nilijifunzia pale
 
Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanajua kuwa eneo lenye vituko vjngi ni Uwanja wa Fisi pale Manzese. Hata hivyo, Buguruni ya leo ni zaidi ya maeneo yote unayojua.

Katika eneo hili kuna madanguro mengi sana. Nyuchi zinauzwa mchana kweupee. Baa kama Sewa na Kimboka ni maficho ya wauza miili.
Visichana vidogo vinajiuza hadharani.

Halafu vimepanga na bei. Kunawa shilingi 500 tu, kula shilingi elfu moja hafi tatu. Sewa inatazama kituo cha polisi lakini ndipo mabinti wanafanya bkashara ya ngono kweupee.

Wana JF tujiulize, nani wa kutuokoa?
Tuwe tunatama mambo kwa jicho la tatu ... najua kuna watakaoshindwa kunielewa au watakaonielewa ndivyo sivyo:-
1. Hivi hao wanaofanya biashara ya miili .. wewe mtoa mada inakuhusu nini? Badala ya kushughulika na mambo makubwa unatoa taarifa za matokeo? Haya ni matokeo ya malezi mabovu ambayo taifa kama taifa tumekuwa tukiyaangalia na sasa yanazaa matunda.

2. Hivi kati ya wanaopoteza watu na hawa wanaouza miili yao ili wapate kuiona kesho nani wabaya!?

3. Hivi wale wanaojificha kwenye vivuli vya dini kumbe ndo wanaolawiti watoto wetu nani wabaya?

Biashara ni pale wahusika wanapokuwa wamekubaliana. Ikitokea wanunuzi wakakosa usitegemee kama biashara hiyo itafanyika.
Nini kifanyike ... jaribu kubuni kazi / shughuli za kuwafanya hao vijana na mabinti wachoke sana hadi wasifikiri mambo ya ngono. Mfano wabebe hao vijana na mabinti wapeleke kambini na wafanyishwe kazi ngumu sana! Kwanza watazalisha; pili watajifunza kazi; tatu hawatakuwa na mawazo ya kingono.
Yangu ni hayo!
 
hakuna jambo linalonihuzunisha maishani mwangu kama hilo.huwa nikipita hapa Sinza Mori jioni kuelekea kwangu,inabidi nipite upande wa pili wa barabara ili nisikutane nao maana sometimes wanakuwa wamechacha haswa hawana hata ya kula,wakikukaba?Ila kinachoniuma zaidi ni viongozi serikalini, hususani vitengo katika wizara husika,Je!wamefika ukomo wa kimawazo kuhusu suluhu ya jambo hili? wengi wao huanzia huku kwenye uchokoraa(sorry kwani hilo jina pia sio zuri) na viongozi wanawaona tangu wakiwa watoto wa mitaani, hadi kufikia hatua ya kuamua kujiuza kwani huku kwenye maisha yao hayo wamezoea kubakwa na kufanyiwa kila aina ya unyama!This is so bitter kwa kweli!Ifike mahali sasa hata katika Chaguzi zijazo, haya mambo yawe Addressed ipasavyo!Kiongozi asiyekubali haya matatizo kuwa katika ilani yake ya uchaguzi, basi tusimpe kura kabisa!Pia asasi za kiraia ziko wapi?mashirika ya kutetea haki za watoto na wanawake yako wapi?Au ndo yamekuwa chanzo cha mapato kwa wajanja?
INAUMA KWA KWELI!!!!!!!!!!TUSEME HAPANA, IMETOSHA!!!!!!!!!!!!!!
Asasi za kiraia zipo na tunafanya kazi .. tatizo kubwa liko hivi ...
Vijana wetu wana upofu wa fikra ... nakupa mfano mdogo tu
Niliposajiri NGO nilianza kwa kuwatangazia vijana waje kituoni kujifunza stadi za kazi bure. Walijitokeza vijana sita tu na hao ni wale walikuwa wamemaliza form four na six wakisubiri kuendelea na masomo.
Baadaye nikamtafuta mtu wa kupita mitaani akiwajuza vijana waje kujifunza - majibu aliyonirudishia nilishindwa kuelewa ... wanauliza eti watakuwa wanalipwa?
Ufundishwe bure alafu ulipwe? Na hiyo mbegu ilipandikizwa na wazungu miaka ya 90; watu walizoea kuitwa kwenye semina na kupipwa na hii inawatafuna wengi.
 
Hakuna kauli ninayoichukia kama binti / mwanamke kuniuliza UNA SHILLINGI NGAPI?. Wote tukichukia kauli hiyo biashara hiyo itakoma.
 
binadamu tunaishi kwa kutegemeana, mfano mm nilikuwa mwanafunzi wa chuo fulani hivi pale dar gharama ya kuwa girlfriend kwa chuo ni kubwa sana maana lazima umlishe, umvalishe pamoja na outing sasa kama huna huo uwezo kazima uende kimboka....binafsi nilikuwa nikienda pale nagonga kama wanne hivi ambapo natumia elfu kumi tu kwa ladha tofauti thereafer nakaa tena hata miezi mitatu...hata 0713 nilijifunzia pale
Ulitumia condom lakini
 
Niko Buguruni LIVE nimemuinamisha muarabu fulani kwa 5000 sijui ni jini au ni muarabu kweli maana baada ya kumaliza tu nakuta bado nina hamu. Niko Y2K nataka nikatize nitokee Kigongo. aisee kama hujui utasema ni wanafunzi wa kike wameandamana. nimehesabu fasta nimeona machangu 37 hali ni mbaya. miaka ile ulikua unakuta wanne leo hii biashara imekua kila mmoja anajaribu kushusha bei. si urongo hapa zipo mpaka 500
vp mkuu huyo muarabu ukimuangalia atakuwa wa umri gani vp ni kabinti ka age za 20s
 
Mzee una jina la kibaharia na mambo ya kibaharia,vipi usalama upo sikuizi,kuna jamaa yangu wakat tupo UDSM apo alikua anaenda siku wakamtaitisha aiseee,alirudi chuo na suruali na vest tu.
Usalama upo,sema huyu mpumbavu tangu aingie madarakani Kuna njia ametuzibia,mzunguko wa hela mbovu
 
Ukweli sijambo jema.kuazia ngazi ya family, kaya,mpaka taifa. Ni jambo LA kulaaniwa tena kwa nguvu sana.pia zipo mamlaka zenye uwezo wa kutokomeza mambo haya haram,kama ilivyo madawa ya kulevya.kubwa tumuombe mungu awape ufahama ndugu zetu,wote wanao dili na biashara hyoo
 
Back
Top Bottom