Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

Buguruni ni zaidi ya Uwanja wa Fisi

Kichapo13

Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
75
Reaction score
30
Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanajua kuwa eneo lenye vituko vjngi ni Uwanja wa Fisi pale Manzese. Hata hivyo, Buguruni ya leo ni zaidi ya maeneo yote unayojua.

Katika eneo hili kuna madanguro mengi sana. Nyuchi zinauzwa mchana kweupee. Baa kama Sewa na Kimboka ni maficho ya wauza miili.
Visichana vidogo vinajiuza hadharani.

Halafu vimepanga na bei. Kunawa shilingi 500 tu, kula shilingi elfu moja hafi tatu. Sewa inatazama kituo cha polisi lakini ndipo mabinti wanafanya bkashara ya ngono kweupee.

Wana JF tujiulize, nani wa kutuokoa?
 
Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanajua kuwa eneo lenye vituko vjngi ni Uwanja wa Fisi pale Manzese. Hata hivyo, Buguruni ya leo ni zaidi ya maeneo yote unayojua.
Katika eneo hili kuna madanguro mengi sana. Nyuchi zinauzwa mchana kweupee. Baa kama Sewa na Kimboka ni maficho ya wauza miili.
Visichana vidogo vinajiuza hadharani. Halafu vimepanga na bei. Kunawa shilingi 500 tu, kula shilingi elfu moja hafi tatu. Sewa inatazama kituo cha polisi lakini ndipo mabinti wanafanya bkashara ya ngono kweupee. Wana JF tujiulize, nani wa kutuokoa?
Kunawa ndio nini?
 
mkuu hiyo kweli kabisa, buguruni ni zaidi ya uwanja wa fisi, sewa, kimboka halafu kuna uchochoro mmoja unatokea y2k kutokezea barabarani kwa wauza mbao, hapo kuanzia saa moja usiku, zinauzwa kama vitumbua, kina dada huwa wamepangana mstari mrefu wakisubiri wateja na bahati nzuri kuna guest bubu hapo hapo, kigongo guest house pia kuna kina dada poa wamepanga humo ndani yaani ni fujo kwenda mbele, madau yao chapu chapu inaanzia 3000/- huduma ya ziada ni maongezi, tunaomba idara husika watuokoe na hii hali jamani
 
Kama hamjui kwa kuleta huu uzi hapa, umewasaidia hao dada poa kuwatangazia biashara, na hivyo sales return zao zitapanda kupita kiasi mweiz huu. Kama unabisha, nenda baada ya wiki uwaulize watakwambia.

Tiba
 
siku wanaume watakapoacha kununua ndipo hao dada powa wataacha kuuza.

wanaume ndio wenye uwezo wa kuzuia hii kitu isienee, lakini nao wananunua hizo nyuchi ili kujiliwaza na ugumu wa maisha.
 
Kama hamjui kwa kuleta huu uzi hapa, umewasaidia hao dada poa kuwatangazia biashara, na hivyo sales return zao zitapanda kupita kiasi mweiz huu. Kama unabisha, nenda baada ya wiki uwaulize watakwambia.

Tiba
Umeongea kweli kabisa.Huu mwezi utakuwa na neema sana kwao.
 
Dada zetu hawapendi jamani ni ugumu wa maisha tu.Kila mtu anapenda maisha mazuri.
 
Wakazi wengi wa Dar es Salaam wanajua kuwa eneo lenye vituko vjngi ni Uwanja wa Fisi pale Manzese. Hata hivyo, Buguruni ya leo ni zaidi ya maeneo yote unayojua.
Katika eneo hili kuna madanguro mengi sana. Nyuchi zinauzwa mchana kweupee. Baa kama Sewa na Kimboka ni maficho ya wauza miili.
Visichana vidogo vinajiuza hadharani. Halafu vimepanga na bei. Kunawa shilingi 500 tu, kula shilingi elfu moja hafi tatu. Sewa inatazama kituo cha polisi lakini ndipo mabinti wanafanya bkashara ya ngono kweupee. Wana JF tujiulize, nani wa kutuokoa?

Tujiokoe wenyewe kwa kuacha kununua uchi na pia kuwakamata wote wanaojishughulisha na biashara hii.
 
:crying: Doh Tanzania kwisha hee uozo kila mahali doh doh!!!Handaki la watoto wanobakwa, papuchi zinauzwa mchana kweupe, vibabu navyo vinabaka doh balaaa. Halafu wahusika wa kuzuia hayo wamelala usingizi mziiiiiito
 
hakuna jambo linalonihuzunisha maishani mwangu kama hilo.huwa nikipita hapa Sinza Mori jioni kuelekea kwangu,inabidi nipite upande wa pili wa barabara ili nisikutane nao maana sometimes wanakuwa wamechacha haswa hawana hata ya kula,wakikukaba?Ila kinachoniuma zaidi ni viongozi serikalini, hususani vitengo katika wizara husika,Je!wamefika ukomo wa kimawazo kuhusu suluhu ya jambo hili? wengi wao huanzia huku kwenye uchokoraa(sorry kwani hilo jina pia sio zuri) na viongozi wanawaona tangu wakiwa watoto wa mitaani, hadi kufikia hatua ya kuamua kujiuza kwani huku kwenye maisha yao hayo wamezoea kubakwa na kufanyiwa kila aina ya unyama!This is so bitter kwa kweli!Ifike mahali sasa hata katika Chaguzi zijazo, haya mambo yawe Addressed ipasavyo!Kiongozi asiyekubali haya matatizo kuwa katika ilani yake ya uchaguzi, basi tusimpe kura kabisa!Pia asasi za kiraia ziko wapi?mashirika ya kutetea haki za watoto na wanawake yako wapi?Au ndo yamekuwa chanzo cha mapato kwa wajanja?
INAUMA KWA KWELI!!!!!!!!!!TUSEME HAPANA, IMETOSHA!!!!!!!!!!!!!!
 
Sio kila kitu mpaka tutegemee serikali ama taasisi fulani ndio ifanye

Tuanze sisi wenyewe tujipange na kutafuta namna ya kukabiliana na hii hali

Hali inatisha na jamii ndio inazidi kuangamia
 
Wakazi wengi wa Dar es
Salaam wanajua kuwa eneo lenye vituko vjngi ni Uwanja wa Fisi pale
Manzese. Hata hivyo, Buguruni ya leo ni zaidi ya maeneo yote unayojua.

Katika eneo hili kuna madanguro mengi sana. Nyuchi zinauzwa mchana
kweupee. Baa kama Sewa na Kimboka ni maficho ya wauza miili.
Visichana vidogo vinajiuza hadharani.

Halafu vimepanga na bei. Kunawa shilingi 500 tu, kula shilingi elfu
moja hafi tatu. Sewa inatazama kituo cha polisi lakini ndipo mabinti
wanafanya bkashara ya ngono kweupee.

Wana JF tujiulize, nani wa kutuokoa?

wanaume tuamuke tuache kununua hii bidhaa ,biashara ikikosa wateja wataacha na kutafuta biashara nyingine inayolipa
 
Back
Top Bottom