abuu garcia
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 227
- 406
Hakuna barabara ya kurndeshea hiyo speed duniani 250 yenyewe sio rahisi sembuse 500
Ulikimbia hesabu ukapata FA!!inamaana ukianzia ubungo mataa kwa sekunde mbili unakuwa ushaiona mikese au?
Yes lakini sio zaidi ya 250 km/h labda uniambie nchi gani ambayo unaweza kuendesha zaidi ya hapo, labda iwe barabara yako mwenyewe........na hata hizo highways sidhani kama ipo one-way zaidi ya 25 kmMkuu kuna barabara za high way huko dunian....hutakiwi kuendesha chini ya km80/hr....
unaendesha 300 kph kwa gari gani na kwa barabara ipi?? Au unazungumzia kuendesha (kuhara).Angalia kipindi cha top gear utaona izo barabara za kuendesha speed 500
Na iyo unayo sema ata 250 ni ngumu kuendesha umekosea
Mimi mwenyewe kuna wakati naendesha mpaka 300 kph
Matuta unnecessary rasta kabla tuta lazima ukose control dadek yan haiwezekan kwa road zetu atleas mkeka wa kwenda mbeya kuna uimara flaniKuna Magari yatabaki kuwa Prototypes tu.. 1500 HP unaifanyia kazi gani labda.
Huku kwetu spidi 140 tu unaiona gari inayumba na barabara zetu ukisinzia kidogo unajimuta wodini
Ndio lami alizokuwa anasifia mkata umeme kila kukicha...Juz nimepita high way dar-mza kwakwel ile sio barabara ni lami bt mashimo kabisa utadhani road ya vumbi imebonyebonyea hatar sasa sijui ni viwango gani Tanroad wazembe sana
Boss, top gear ya jana ni new episode. Sio ya akina Jeremy Clarkson. Buggati Chiron hii mpya ndio jamaa kaendesha. Kama una dstv angalia BBC BRIT channel 120 kila jumatano saa tatu kamili usiku ni new episode ya top gear.Ila ile ni Bugatti veyron version ya nyuma kidogo ya hii
Nimezoea kutumia miles,yards etc...kph zinaogopesha tu, gari nyingi nilizoendesha zina miles unakuta kisahani kinasoma 160 ila in km ni 260....na gari hii unaendesha 120-130 mph kirahisi tu ila ukifikiria ni 240kph unashtuka.Napenda maelezo yako lkn ningekuomba uwe unatumia metric system kama ukiweza, haya mambo ya miles binafsi yananizingua sana!
USISEMEE NCHI ZA WENZAKO, SEMEA NCHI YAKO.Hakuna barabara ya kurndeshea hiyo speed duniani 250 yenyewe sio rahisi sembuse 500
Haiwezekani! Labda kama kungekuwa na highway ya njia 6! Bado kuna sehemu kibao atalazimika kwenda 50km/h!dar-mwanza masaa matatu
Bora mbeya, au kuna kipande fulani ukiwa unatoka Mwanza kwenda Mara.Matuta unnecessary rasta kabla tuta lazima ukose control dadek yan haiwezekan kwa road zetu atleas mkeka wa kwenda mbeya kuna uimara flani
QUOTE E="Mpini Wa Chuma, post: 20413630, member: 406973"]Juz nimepita high way dar-mza kwakwel ile sio barabara ni lami bt mashimo kabisa utadhani road ya vumbi imebonyebonyea hatar sasa sijui ni viwango gani Tanroad wazembe sana
wengine tumesoma sanaa ndugu na hata wewe ungekuwa kwetu ungepiga FA ya kiswahiliUlikimbia hesabu ukapata FA!!
sijui physics ilikuwaje!!! Naamini nako ni FA!!
asee mkuu ile ni chiron tena latest , mbona unatulisha matango namna hiiIla ile ni Bugatti veyron version ya nyuma kidogo ya hii
Duhwengine tumesoma sanaa ndugu na hata wewe ungekuwa kwetu ungepiga FA ya kiswahili