Bugatti Chiron 1500 HP, Max speed 500 km/h!

That's for racing fancy and prestige nothing more
Uko sahihi maana imebidi ni"gugo".Barabara zenye vibao vya speed ya juu kabisa duniani ni 140KPH na viko Bulgaria na Poland.Kama ni hivyo kwa nini viwanda vya magari vinatengeneza magari kama hayo maV8?(From safety/accident point of view).Ili linahitaji mjadala wa kujitegemea
 
imezidi kwa Porshe panorama turbo supercharged ya 2013 ina speed 400km/h muundo ndani na nje ni kama hiyo hiyo zimetofautiana nyuma tuu hawa panorama 2017 naamini watakua wametoa kitu cha hatari zaidi...
 
Sasa hio gari ya v16 engine ya nini yani? Its a fuel sucker then halifai kwa mazingira yetu huku!
 
Germany wana barabara nzuri sana hasa zinazounganisha miji zinaitwa autobahn. Huwa hakuna speed limit. Many tourist comes with their speedy fancy car to drive on this road. Hivyo zipo barabara za kuendesha hiyo imaginary speed....
 
QUOTE E="Mpini Wa Chuma, post: 20413630, member: 406973"]Juz nimepita high way dar-mza kwakwel ile sio barabara ni lami bt mashimo kabisa utadhani road ya vumbi imebonyebonyea hatar sasa sijui ni viwango gani Tanroad wazembe sana[/QUOTE]

Loh! Foreman aliyekuwepo wakati wa matengenezo ya barabara hiyo akikusikia utapata misukosuko sana.
 
Sasa si wafunge mabawa tu lipae, kama shida ni speed.!!!!!


500kmh utazifikia kwenye barabara ya nani??? Ili uwahi wapi??? Kama sio kuzimu.
 
Kufikisha 200kph barabara za Ulaya ni shida? Hio ni 120mph huitaji hata stretch ya km mbili kufikisha mwendo huo. Halafu autobahn hazina speed limit watu wanajiachia na ma porsche,ferrari balaa.

Hata UK camera zipo ila sio kila mahali. Kuna sehemu nyingi tu unaendesha hadi 250kph kama una ushujaa, been there done that. Mimi nilikuwa nafanyakazi umbali wa 42 miles (approx 65km) na nilikuwa natumia motorway. 100-130mph ndio ulikuwa mwendo wangu wa kawaida.
 
Mmmmmh wakati sisi huku ni 4 cylinders, topspeed 160kph
HP 120
 
ingekuwa inamilikiwa na mwarabu hapa tz bashite angemsingizia kuuza madawa ya kulevya ili ahongwe
 


Napenda maelezo yako lkn ningekuomba uwe unatumia metric system kama ukiweza, haya mambo ya miles binafsi yananizingua sana!
 
Kwenye Top Gear leo jamaa kaiendesha kwenye runway tu kafikisha 230mph. Miles per hour. Kuna special key akiiweka sehemu na kufungua inafikisha 300mph.

Hii gari haihitaji umbali mrefu kufikisha mwendo huo.

Ni W16 with 4 turbo chargers!
Ila ile ni Bugatti veyron version ya nyuma kidogo ya hii
 
Wazee wa tochi unawapita kama zimwi maana zile tochi mwisho wa kusoma speed ni 160...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…