mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,703
- 37,316
ndio maana sisi wengine magu pamoja na mapungufu yake tunasema afadhali huyu.Ndugu issue sio Lini walianza, Mimi siku ya kwanza kutua Dubai ilikuwa september 1977, nikiwa kijana wa miaka 14, nikielekea India na mzazi wangu, kwa Gulf Airways. tulikaa wiki moja kwa ndugu wa kizanzibari, mji haukuwa na harakati hivyo, Dar ilikuwa zaidi ya Dubai. kitu wanachotuzidi ni utendaji na namna wanavyopigania kuwa bora No.1. kwa kila kitu. Best service, Best Facility, Fast implementation, na zaidi ya hayo Investments zinapewa vipao mbele vingi, total encouragement and support.
Hawa wana usemi toza hodi ndogo, kuimarisha uchumi, uwekezaji na utumiaji. Sisi tungekuwa tunatoza ushuru mdogo si tungekuwa RE-EXPORTERS wakubwa kwenye nchi zote za jirani.
ana mengi tutakuja kumkumbuka nayo kuliko rais mwingine yeyote.